Ulianzaje kukaa gheto?

Daaahh uu uzi ulinihamasisha niingie magetoni, saiv naishi gheto nna kama miez 5 hivi ila pako pOa voz tuko wapangaji wote ni mabachela tu. ila ndo vile vitu vingi sina c unajua mwanzo mgumuView attachment 1175214
Kaza man, ila hapo kimsingi basics za ghetto la kiume zipo tayari.
~Kitanda
~Jiko
~Mziki wa kupunguzia kelele za minjunjano [emoji23]
 
Bless up man, nimecheka kinoma yani hapo "kulala umejifunika kama madaktari wa ebola" [emoji23]
 
Hahah uyo ex asituletee nuksi saiz[emoji16]
 
Pole sana mkuu..hawa viumbe kuwahi kuishi nao geto ni shida tu

Na ni weng wanamtindo wakukimbia na vitu..hata hapa jiran kuna dem kakimbia na vitu vya jamaa vyote...mwana anarud usku anakuta geto jeupeee [emoji16][emoji16] ikabd aje kuomba mkeka
[emoji23] Huyo mwamba alifeli mnooo
 
Wazee narudi skuli mara moja mzumbe moro hivi wenyewe wanajua vyumba ni kiasi gani moro wanambie
Nita-assume unaenda kusoma MU (Mzumbe University), wanachuo wengi wanapenda kuishi karibu na chuo sehemu inaitwa Changalawe maarufu kama "Chengi", bei za vyumba standard kwa mwanachuo ni kuanzia 50k na kuendelea. Kama unaishi Dar waweza drop Mzumbe chap tu ukaulizia kila kitu na jioni ukawa usharudi zako.
 
Nataka nikasome uko mzee hila sihitaji kukaa hostel na vitoto
 

Salute Salute Salute Mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…