Ulianzaje kukaa gheto?

Nipo nyumbani mpaka mda huu na-type. Hali inazidi kua mbaya wakuu, naomba niwahaidi mwanzoni mwa mwez wa 9 picha ya geto Langu. Mungu nisaidie.
[emoji16] aisee mkuu Hali mbya ila kujipinda tu ndo kikubwa kaka
 
Nlianza kuishi maisha baada ya kuajiriwa , tena nlibahatika kupata nyumba ya vyumba wiwili na sebule kubwa,,

Maisha ya upweke sana usiku si vile bado mgeni,, nlivozoea usiku navusha wale madem ganda la ndizi, alfajiri wanasepa

[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23] nakuona baharia
 
Nlianza kuishi maisha baada ya kuajiriwa , tena nlibahatika kupata nyumba ya vyumba wiwili na sebule kubwa,,

Maisha ya upweke sana usiku si vile bado mgeni,, nlivozoea usiku navusha wale madem ganda la ndizi, alfajiri wanasepa

[emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16] wazeee wa importation
 
Hongera mkuu kwa uthubutu..trust me hapo ukimalza chuo haurud nyumbani bro,mchawi ni vitu vya ndan tu hivi...ado ado ukianza kua navyo basi geto kuanza inakua rahis kdgo
 
Daaah!! Mi nakumbuka 2017 ndo nilianza life la kujitegemea hapo nimetoka kumaliza chuo halafu nikapata Mishe mishe pande za mkoa Fulani uzuri kulikuwa na rafiki yangu pande za mkoa huo so nikafikia kwake nikakaa kama mwezi mmoja hivi then nikaenda kupanga baada ya kulipwa my first salary maana kukaa kwa watu muda mrefu sio issue..

Basi mzee mwenyewe nikaenda kupanga hapo sina godoro wala kitanda na pesa ilikuwa imeshakata maana salary ilikuwa ya kawaida + majukumu ya kifamilia so nikabakiwa na pesa ya kula na nauli then nilichofanya cha maana nilinunua mkeka na mto so nikaanza kulala kwenye mkeka chini,then nikanunua jiko la gesi, sufuria set nzima ambayo zinakuwa 4, miiko miwili, vijiko dozen moja, ndoo na jaba, container kubwa za kuhifadhia vyakula, sabuni ya kuogea, ya kufulia, dodoki, mswaki mpya, dawa ya meno mpyq, mapazia mawili, mashuka mawili ya kulalia, ndala za bafuni....

Baada ya miezi miwili mbele nikawa nimeshanunua kitanda na godoro so life likawa limekaa stable hata demu kumualika ndani ikawa hakuna noma[emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16] mkuu umenunua vyombo kama vyote
 
kaka tusaidie mawasiliano tunaweza kushauriana kuhusu maisha
 
Siku hiz nishaacha yale mambo,,

Ila mara moja moja sio mbaya [emoji3]
[emoji23] yeah yeah, muhimu kwa afya Joh. Enzi hizo nakaa ghetto kigamboni nimefanya sana "uvushaji" [emoji119]. Kwa zile sketi ganda la ndizi jioni unamchukulia tu kiepe yai mixer unamwachia pc acheki check movies mara time imetembea, analiwa then asubuhi mapemaa mnooo kabla ya baba mwenye nyumba kuamka dogo anasepa [emoji23]
 
Nipo nyumbani mpaka mda huu na-type. Hali inazidi kua mbaya wakuu, naomba niwahaidi mwanzoni mwa mwez wa 9 picha ya geto Langu. Mungu nisaidie.
Fanya hivyo mzee,na utu uzima huo kutumwa vitunguu swaumu sio poa yan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…