Ulianzaje kukaa gheto?

Pole kiongoziii...[emoji3]

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
Mimi nilihamia geto mwezi wa 2 mwanzoni nimelipa kodi na kununua baadhi ya mazaga ila kimbembe huu ugonjwa sasa kazi imesimama nina hela ya mawazo na kodi ni mwezi ujao nawaza nifanyeje hapa ila naamini ntatoboa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili linapita tu mkuu..usirudishe kwa kipa kaka

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
Nimecheka sana ....
Kwahiyo mkuu hautaki kufua shuka??

Nakumbuka na mimi Mara ya kwanza kupanga geto sina cha demu wala nini....
Sasa bwana siku ya siku kuna mshikaji wangu alikuwa na demu wake sasa kumlia hostel naona hakuona poa... akaniomba nimuachie geto akaja na demu wake... jioni narudi nakuta wamechana shuka niliyokuwa nimeitandika...
Aseee nilikasirika sana...
Ila kwa vile ni mwana tukaishia kucheka tu...
[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Appreciate u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa sana kamanda hongera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi umenipa hamasa...
Kipato changu kwa mwezi ni 100k,,, nimeshajipinda nikanunua Godoro la 5*6,,,niko nasaka hela ya Jiko la Gesi...nikimaliza nasaka Kisabwoofer...nikimaliza NASAKA HELA KODI....

Mniombee maana kipato changu kidogo sana....Panapo majaliwa nikikamilisha...nitawapa Mrejesho
 
Kila lakheri mkuu , pambana

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
Kupitia huu uzi, nilihamasika sana.

Tayari nimelipia miezi 6 room toka mwezi wa 4 mwaka huu, nimenunua kitanda, godoro, mazaga mengine yatafuata baadae.

Inshu kuhama home aisee ni kazi sana



"Not everything is for everybody"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…