Ulianzaje kukaa gheto?


Ulianza vizuri sana Mkuu!! Mie nilikuwa na kitanda nilinunua elfu 50 nikakihifadhi kwanza kwa fundi, nilipopanga nikanunua tu Godoro la elfu 37 Comfy, Feni elfu 25, Jiko la Mchina elfu 6 na kodi ya miezi 6 Ths 72,000/=(Kila Mwezi 12,000/=)......Subwoofer, Computer, Radio nilikuwa navyo, nilinunua na Boom la MTC.
 
Ulipata kazi gani
 
Mkuu kweli ulipata baba mkwe mzuri
 
Mimi nina 23 years now, nimeanza kuishi geto nikiwa na miaka 19, baada ya kupote ada ya chuo million 2 na nusu ila saiv maisha yanaenda vzr tu namshukuru Mungu kwa kupoteza hela nilikimbia kipigo cha mzeee baba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi GANI tena

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
TISS

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mishe gan

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…