Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Ghetto
IMG_20210102_222552_014.jpg
 
Mimi binafsi gheto nilianza kukaa soon nilivyoingia chuo, nakumbuka nilipata room ya elfu 50 nikaanza nayo kibishi, nikanunua bed ya 150, 5 kwa 6, nikatafuta feni tu ya elf 35..si unajua joto la dar..nikaingia k.koo nikavuta subwoofer ya elf 75 tu, gheto bila mziki sio geto ni choo, kujicheki mfukoni boom likawa lishakata, basi nikaendelea kuishi geto hadi namaliza chuo gheto likawa limesheheni tu.

Ulianza vizuri sana Mkuu!! Mie nilikuwa na kitanda nilinunua elfu 50 nikakihifadhi kwanza kwa fundi, nilipopanga nikanunua tu Godoro la elfu 37 Comfy, Feni elfu 25, Jiko la Mchina elfu 6 na kodi ya miezi 6 Ths 72,000/=(Kila Mwezi 12,000/=)......Subwoofer, Computer, Radio nilikuwa navyo, nilinunua na Boom la MTC.
 
Nilipanga geto nikiwa na miaka 19,nafanya kazi kwenye kihoteli kwa mtu baada ya muda nkauza kila kitu nkaenda dar nkapanga geto kigamboni kwa mparasinge baada ya muda,nkauza kila kitu nkaenda kukaa kwa Braza nkaja kupanga chumba upya juzi tu nikiwa na ajira rasmi namshukuru Mungu serikali iliniajiri nikiwa na umri mdogo sana 21yrs hvyo nilianza kujitegemea mapema nlivyopewa hela ya kuanzia maisha nkanunua kitanda kikubwa,subwoofer,fridge,jiko la gas sahani mbili,vyombo vya ndani, Mungu nsaidie mwaka huu nianze ujenzi wa nyumba yangu pale mlandizi
Ulipata kazi gani
 
Nakumbuka nmetoka kwenye pepa na mwenzngu nmempakia kwenye boda boda tunarudi zetu home babamkwe ananipigia simu jerry uko wapi nkamwambia,heb njoo swhemu flani wakati nashuka pale na mwanake anakitumbo namshusha huku namtania mzee alitoka chozi la furaha alivyokuwa anatuangalia,nikaonyeshwa gari aina ya ist,that time ndo ubber imeingia tz,akanambia hii ndo gari nliyowapa but kwa sharti la kuniletea kila siku elfu 20 then baada ya mwaka litakuwa lenu,basi nkachukua piki piki nikaifunga sehemu na kuiweka lock then nkachukue ndinga na wife mpka tumapokaa then baadae nkaifata piki piki mpka kule then nkaileta home.
Mkuu kweli ulipata baba mkwe mzuri
 
Mimi nina 23 years now, nimeanza kuishi geto nikiwa na miaka 19, baada ya kupote ada ya chuo million 2 na nusu ila saiv maisha yanaenda vzr tu namshukuru Mungu kwa kupoteza hela nilikimbia kipigo cha mzeee baba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu mungu ni mkubwa, mimi ni kijana nina miaka 22, saivi nmepata kazi ambayo kidogo itakua inanilipa vizuri tena ya serikali.

ila bado nko chuo ndo naingia mwaka wa 2 saivi, na nyumbani ni mkoani mbali kabisa, na hali ya nyumbani so nzuri kiafya apa naishi kwa ndugu yangu.

sasa apa mawazo ya kupanga ndo yamekuja maan nilkua naogopa kozi kuingi mtaani ivi ivi unaweza kurudisha mpira kwa golikipa.

saivi nawaza kupanga, mwaka huu haupitui wakuu na mimi ntakua na geto langu, yaani nina miaka 22 ila naagizwa vitunguu swaumu aibu sana, tuombeane wakuu
Kazi GANI tena

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nikisimulia A to now (Z is death) ya hustle zangu nitareveal my identity so i better keep my mouth shut!

All in all vijana tupige kazi. You are the only person who can save your a$$ in this world.

Hustle more mpaka uachane na life la kulala chumba kimoja na ndoo za maji, gesi za majiko, viatu, TV humo humo.

It's possible.
TISS

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
kuna dili nmepata napgwa lak 8 kwa mwezi, na wiki ijayo nategemea kupgwa kama lak 8 na nusu ya kuanzia, nna mpango wa kununua kitanda laki 4 na godoro laki 2, alafu nitulie kwanza, baada ya miezi mitatu naenda mzima kabisa, ila fridge na oven ni mhimu + kabati la nguo, meza na kiti, mengine ntaongezea uko uko
Mishe gan

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom