Ulianzaje kukaa gheto?

. Sure mkuu hapa nadaiwa PC tu😂😂
Bi up mkuu..hatua kwa hatua. Mimi nilianza bila sabufa..nikajichanga nikanunua bufa la 120k kkoo..nikapambana kusaka tv..nikajichanga nikavuta..now akili inanitaka nisake king'amuzi ndo napigia plan..Baada ya hapo nataka nijichange tena nivute kabati la nguo na fridge...Kipato kidogo ila najibana kiaina..sitaki kununua vitu used...So big up mkuu..

Ila maisha hayako fair..kila mtu anatamani level ya mwenzie..kama nakuona vile unataman sana PC...halafu mimi mwenye PC natamani king'amuzi, fridge na kabati la nguo....hapo hapo kuna mwanetu ana kila kitu tunachotamani...hahahahahah
 
Lengo langu ni kununua king'amuzi cha Azam tv as soon as nikipata hela...kwa mnaofahamu ningependa mnijuze, sasa hivi king'amuzi kimekaa kwa bei gani...

NB: Huu uzi ndio ulinifanya nizidishe hamasa ya kujitegemea na kujiunga JF..BIG UP kwa mwandishi
 
Maisha sio fair...sema kila mtu ana tym yake tu
 
Ukipata fundi pale TAZARA aje na dish complete ni 135k, matengenezo ni 15k, bado kulipia channel.
 
Asante sana mkuu..big up kwako pia kwa kuzidisha hasira
 
Nmeanza kukaa geto nna takribani mwaka na robo, sikuondoka na mia ya mzazi, nna fridge, kitanda, dstv, TV na kila chombo, kodi nalipa 150K, nshanunua na Gari, nmenunua kiwanja, na nategemea mwezi wa 5 nianze ujenzi ila mniombee maana mpaka sahivi nna balance ya 4M na kiwanja nmenunua 10M+ ilna sina mkopo sehem yoyote, na bado niko under 23, tuombeane wakuu
 
....hatare mkuu .....kauli mbiu ni ile ile ......forward ever .....backward never
 
.........sana mkuu endelea kukaza .....mpaka ifikie sehemu wenyew. Ujkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…