Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

. Sure mkuu hapa nadaiwa PC tu😂😂
Bi up mkuu..hatua kwa hatua. Mimi nilianza bila sabufa..nikajichanga nikanunua bufa la 120k kkoo..nikapambana kusaka tv..nikajichanga nikavuta..now akili inanitaka nisake king'amuzi ndo napigia plan..Baada ya hapo nataka nijichange tena nivute kabati la nguo na fridge...Kipato kidogo ila najibana kiaina..sitaki kununua vitu used...So big up mkuu..

Ila maisha hayako fair..kila mtu anatamani level ya mwenzie..kama nakuona vile unataman sana PC...halafu mimi mwenye PC natamani king'amuzi, fridge na kabati la nguo....hapo hapo kuna mwanetu ana kila kitu tunachotamani...hahahahahah
 
Lengo langu ni kununua king'amuzi cha Azam tv as soon as nikipata hela...kwa mnaofahamu ningependa mnijuze, sasa hivi king'amuzi kimekaa kwa bei gani...

NB: Huu uzi ndio ulinifanya nizidishe hamasa ya kujitegemea na kujiunga JF..BIG UP kwa mwandishi
 
Bi up mkuu..hatua kwa hatua. Mimi nilianza bila sabufa..nikajichanga nikanunua bufa la 120k kkoo..nikapambana kusaka tv..nikajichanga nikavuta..now akili inanitaka nisake king'amuzi ndo napigia plan..Baada ya hapo nataka nijichange tena nivute kabati la nguo na fridge...Kipato kidogo ila najibana kiaina..sitaki kununua vitu used...So big up mkuu..

Ila maisha hayako fair..kila mtu anatamani level ya mwenzie..kama nakuona vile unataman sana PC...halafu mimi mwenye PC natamani king'amuzi, fridge na kabati la nguo....hapo hapo kuna mwanetu ana kila kitu tunachotamani...hahahahahah
Maisha sio fair...sema kila mtu ana tym yake tu
 
Lengo langu ni kununua king'amuzi cha Azam tv as soon as nikipata hela...kwa mnaofahamu ningependa mnijuze, sasa hivi king'amuzi kimekaa kwa bei gani...

NB: Huu uzi ndio ulinifanya nizidishew hamasa ya kujitegemea na kujiunga JF..BIG UP kwa mwandishi
Ukipata fundi pale TAZARA aje na dish complete ni 135k, matengenezo ni 15k, bado kulipia channel.
 
Lengo langu ni kununua king'amuzi cha Azam tv as soon as nikipata hela...kwa mnaofahamu ningependa mnijuze, sasa hivi king'amuzi kimekaa kwa bei gani...

NB: Huu uzi ndio ulinifanya nizidishew hamasa ya kujitegemea na kujiunga JF..BIG UP kwa mwandishi
Asante sana mkuu..big up kwako pia kwa kuzidisha hasira
 
Nmeanza kukaa geto nna takribani mwaka na robo, sikuondoka na mia ya mzazi, nna fridge, kitanda, dstv, TV na kila chombo, kodi nalipa 150K, nshanunua na Gari, nmenunua kiwanja, na nategemea mwezi wa 5 nianze ujenzi ila mniombee maana mpaka sahivi nna balance ya 4M na kiwanja nmenunua 10M+ ilna sina mkopo sehem yoyote, na bado niko under 23, tuombeane wakuu
 
Bi up mkuu..hatua kwa hatua. Mimi nilianza bila sabufa..nikajichanga nikanunua bufa la 120k kkoo..nikapambana kusaka tv..nikajichanga nikavuta..now akili inanitaka nisake king'amuzi ndo napigia plan..Baada ya hapo nataka nijichange tena nivute kabati la nguo na fridge...Kipato kidogo ila najibana kiaina..sitaki kununua vitu used...So big up mkuu..

Ila maisha hayako fair..kila mtu anatamani level ya mwenzie..kama nakuona vile unataman sana PC...halafu mimi mwenye PC natamani king'amuzi, fridge na kabati la nguo....hapo hapo kuna mwanetu ana kila kitu tunachotamani...hahahahahah
....hatare mkuu .....kauli mbiu ni ile ile ......forward ever .....backward never
 
nmeanza kukaa geto nna takrbani mwaka na robo, sikuondoka na mia ya mzazi, nna fridge, kitanda, dstv, TV, na kila chombo, kodi nalipa 150K, nshanunua na Gari, nmenunua kiwanja, na nategemea mwezi wa 5 nianze ujenzi ila mniombee maana mpaka sahv nna balance ya 4M, na kiwanja nmennua 10M+ ilna sna mkopo sehem yyte, na bdo niko under 23, tuombeane wakuu
.........sana mkuu endelea kukaza .....mpaka ifikie sehemu wenyew. Ujkubali
 
Back
Top Bottom