Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo kwenye PC hujafungua ETS 2 kweli![emoji3]
Mkuu hapo kwenye PC hujafungua ETS 2 kweli![emoji3]
We na ETS 2 si kama ndugu kbsa![emoji3]Daaaaaaaaaah[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316] umejuaje mzee
Nkitok kazin ndio game langu hilooo
We na ETS 2 si kama ndugu kbsa![emoji3]
Demu akija hachomoki hapo. Hizo picha mhhh
. Sure mkuu hapa nadaiwa PC tu😂😂Acha utani bwana[emoji3][emoji3]
Bi up mkuu..hatua kwa hatua. Mimi nilianza bila sabufa..nikajichanga nikanunua bufa la 120k kkoo..nikapambana kusaka tv..nikajichanga nikavuta..now akili inanitaka nisake king'amuzi ndo napigia plan..Baada ya hapo nataka nijichange tena nivute kabati la nguo na fridge...Kipato kidogo ila najibana kiaina..sitaki kununua vitu used...So big up mkuu... Sure mkuu hapa nadaiwa PC tu😂😂
Maisha sio fair...sema kila mtu ana tym yake tuBi up mkuu..hatua kwa hatua. Mimi nilianza bila sabufa..nikajichanga nikanunua bufa la 120k kkoo..nikapambana kusaka tv..nikajichanga nikavuta..now akili inanitaka nisake king'amuzi ndo napigia plan..Baada ya hapo nataka nijichange tena nivute kabati la nguo na fridge...Kipato kidogo ila najibana kiaina..sitaki kununua vitu used...So big up mkuu..
Ila maisha hayako fair..kila mtu anatamani level ya mwenzie..kama nakuona vile unataman sana PC...halafu mimi mwenye PC natamani king'amuzi, fridge na kabati la nguo....hapo hapo kuna mwanetu ana kila kitu tunachotamani...hahahahahah
Ukipata fundi pale TAZARA aje na dish complete ni 135k, matengenezo ni 15k, bado kulipia channel.Lengo langu ni kununua king'amuzi cha Azam tv as soon as nikipata hela...kwa mnaofahamu ningependa mnijuze, sasa hivi king'amuzi kimekaa kwa bei gani...
NB: Huu uzi ndio ulinifanya nizidishew hamasa ya kujitegemea na kujiunga JF..BIG UP kwa mwandishi
Asante sana mkuu..big up kwako pia kwa kuzidisha hasiraLengo langu ni kununua king'amuzi cha Azam tv as soon as nikipata hela...kwa mnaofahamu ningependa mnijuze, sasa hivi king'amuzi kimekaa kwa bei gani...
NB: Huu uzi ndio ulinifanya nizidishew hamasa ya kujitegemea na kujiunga JF..BIG UP kwa mwandishi
....hatare mkuu .....kauli mbiu ni ile ile ......forward ever .....backward neverBi up mkuu..hatua kwa hatua. Mimi nilianza bila sabufa..nikajichanga nikanunua bufa la 120k kkoo..nikapambana kusaka tv..nikajichanga nikavuta..now akili inanitaka nisake king'amuzi ndo napigia plan..Baada ya hapo nataka nijichange tena nivute kabati la nguo na fridge...Kipato kidogo ila najibana kiaina..sitaki kununua vitu used...So big up mkuu..
Ila maisha hayako fair..kila mtu anatamani level ya mwenzie..kama nakuona vile unataman sana PC...halafu mimi mwenye PC natamani king'amuzi, fridge na kabati la nguo....hapo hapo kuna mwanetu ana kila kitu tunachotamani...hahahahahah
.........sana mkuu endelea kukaza .....mpaka ifikie sehemu wenyew. Ujkubalinmeanza kukaa geto nna takrbani mwaka na robo, sikuondoka na mia ya mzazi, nna fridge, kitanda, dstv, TV, na kila chombo, kodi nalipa 150K, nshanunua na Gari, nmenunua kiwanja, na nategemea mwezi wa 5 nianze ujenzi ila mniombee maana mpaka sahv nna balance ya 4M, na kiwanja nmennua 10M+ ilna sna mkopo sehem yyte, na bdo niko under 23, tuombeane wakuu