Ulianzaje kukaa gheto?

aiseee...Maisha yako ni ndoto yangu...na nina age 4+ zaidi yako...hongera sana mkuu...
 
Hongera sana Mkuu
 

Umeajiriwa au unafanya biashara?
 
Unafanya biashara au umeajiriwa
 
Unaweza ukatupatia jinsi unavyapata michongo ya hela?
 

Daaa Mkuu hapa Utakuwa unakula Kimasihara sana duuu[emoji851][emoji109]
 

Qubabek watu kama wew ndio wanaoniumiza mim kichwa aiseee
[emoji1635] man
 
Pesa inahitaji nidhamu sana!
Usiitumie kama hakuna ulazima!
Uwe na sababu ya kila senti inayotoka kwenye mfuko wako!
Kama wewe umeajiriwa hakikisha una hesabu kamili ya hela unayoitumia kwa siku
Kisha bundle za simu na mambo madogo madogo zitokee humo humo kwa mfano!
Mimi kwa siku nimesema ntatumia 5000
Asubuhi chai buku!
Mchana 2000 usiku 2000
Ila mara nyingi usiku huwa nanunua viazi 1000 (nakula siku2)
Nyanya za kachumbali na 500 na vizaga vya 500 hivi vitu natumia siku2
Ina maana mwisho wake ntabaki na 2000 ya usiku wa siku ya pili
Hizi ndio huwa natumia kununua bando, mayai, visoda soda au sabuni au dawa za meno nkiwa nauhitaji nazo!
Ila hesabu zangu ni 5000
 
Nimeielewa budget yako mkuu...imekaa mkao sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…