Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Hii thread inanihamasisha mpango nnaotaka kuufanya mwezi huu....nimeahirisha kupanga kwa miezi mi3 nikiwa naweka kwanza biashara yangu vizuri

Now nipo fresh...biashara inaenda nna mpango mwezi huu tar 30 nichomoke

Sema napo km nnaanza kuahirisha...nataka pia hela ya mwezi huu niiweke kwenye biashara

Ila kiukweli kabisaa nmeamua mwezi huu kusepa

Sofa lipo tyr
Kitanda tyr
Subwoofer lipo tyr
Vyombo kila kitu tyr
Bado carpet tyuuu

Ukikaa gheto akili inakua
 
Daaah....mimi beki tatu ndio alinitoa home maana alikuja bibi kutoka kijijini kwetu sasa ule mchezo wetu wa kukwichi kwichi ukaisha maana bibi yupo home full time.

Sasa akaniambia si uhame nyumbani uende ukakae chuo kama wenzako...Nika mwambia ela ya chakula na nauli nani atagharamia akaniambia nisikae mbali sana na chuo then chakula atajua cha kufanya.

Kidume nikavuta mpunga wa hostel nikaenda kutafuta chumba uswazi nikaweka carpet la bei rahisi na godoro nikalaza chini na kafeni ka Tsh 35...Mdogo mdogo nikavuta sabufa ya Tsh 85...Mother kaja Ghetto kucheki akaniambia nikachukue kitanda home au nichongeshe.Nikachonga kitanda.

Daaaah mdada wa watu akawa anasema anaenda maombi kila Jmos (alikuwa msabato)Anakuja asubuhi gheto napiga mzigo anaondoka saa 11 jioni. Alikuwa anaiba mchele,Unga,Sukari na Mazagazaga mengine anampa bodaboda ananiletea.

Maisha yalikuwa mpaka nikamaliza chuo Gheto limesheheni kila kitu mpaka sofa na fridge nikavuta chumba na sebule kwa udhamin wa demu wangu wa chuo aliniambia pesa yake ya hostel tupange chumba na sebule...Mimi nimesha maliza nilimuacha chuo alafu sina kazi...Kwahiyo Kodi haikuwa stress kwangu wala chakula issue ni pesa ya mimi mfukoni na mambo mengine.

Sasa basi demu wangu wa chuo nilimpanga nikamwambia kila jmos Mama mdogo(Beki Tatu) anakuja kunitembelea na kuniletea vitu akikuta itakuwa soo home....Na vile Beki tatu alikuwa mkubwa kwangu na umbo kubwa basi baby wangu akajua kweli yule mother mdogo.

Alafu na Beki Tatu nae nikampanga nikamwambia now nimepata wanafunzi nawafundisha watakuwa wanakuja hapa jmos kuanzia saa 7mchana (Nilifanya hivyo kumpunguza muda wa kukaa na mimi).

Hivyo ndivyo ilivyo kuwa na kujichanganya kwangu kitaa nikawa napata cent za mboga huku baby wangu akiwa darasani anapiga kitabu....But hutukuja kufanikiwa kuwa wote.
 
NILIONDOKA KWA MLEZI NA KUANZA KULALA GUEST TAKRIBANI MIEZI MIWILI.....
Nakumbuka ni baada tu ya kumaliza form four,nlikua naishi na mlezi tu hivyo kwa kiasi fulani nilikua kila nikitafakari juu ya hatma ya maisha yangu nikawa najiona sina changu pale katika ile nyumba.
Basi, ilikua ni takribani wiki mbili tu tangu nilipo maliza mtihani wangu wa kidato cha nne ndipo morale wa kuhama pale kwa mlezi wangu ulipo kuwa ukizidi.
Hivyo sikua na muda wa kupoteza,nikaingia street kupiga manual works.
Haikuchukua hata week moja nikajitupia kwa wanangu wa Tigo(MCL communication). Kipindi hicho ile promo ya "toa buku urudishiwe buku" na "Facebook bure". Nikapewa CODE ya kusajilia nikiwa kama "FREE LENCER",siku hiyo naanza kazi kumbe ndio siku "Tigo promo" inaanza(hii inahusisha safari katika maeneo mbalimbali).
Basi ndugu,nikaunga nao safari,na huo ndo ukawa mwisho wa kuishi home. Tulipiga kazi almost two months,mwanzo ulikua mgumu kwani sikua na uzoefu,ila baada ya kuzoea tu ile kazi nikawa napiga pesa sana.
Siku zote hizo makazi yetu yalikua ni guest,yani mkichukua double room basi mnalala wanne then mnachanga pesa.
Tulipo rudi sikutaka tena kurudi home kabisa,hapo ndipo maisha ya gheto yalipo anzia.
 
Nilianza maisha ya ghetto nikiwa full,hii ni baada ya kulipwa Commission kubwa mwezi wa pili,hivyo nilinunua kila kinacho hitajika mle ndani.
Miezi mitano tangu nianze kazi hali ilikua nzuri zaidi nikaamua kuongeza chumba kingine/ varanda. Then kupitia akiba niliyokua nayo nikatafuta flame kisha nikafungua saloon ya kiume.
Baada ya muda nilitafuta mabanzi/mbao nikajenga kibanda mwenyewe,lile likawa goli la Chips.
 
Basi ndugu,kuna muda ulifika baada ya promotion kupita pesa ikawa ngumu sana,nikaamua nikaendelee na shule( Hapo nilikua nishapitisha mwaka mmoja wa masomo,kwani nilifaulu kidato cha nne).
Nilikua naenda kazini ile nikitoka shule. Hadi naanza chuo nilikua nimepiga hatua kwa kiasi fulani. Hivi ninavyoongea sipo ghetto bado,nina kwangu.

Jambo la msingi ni kujiamini na kuweka nia katika kile unachokifanya.
Tuwe na "UTHUBUTU"
Aisee, nimekufatilia Kwa umakini historia yako inahamasishaa yan,vipi hizo biashara zako chips & saloon ziliendelea poa ?
 
Mimi ilikuwa 2014 semistar ya kwanza mwaka wa mwisho nilitafuta geto maeneo ya kihonda nilipohitimu chuo mzumbe julai 2014 nikagoma kurud home japo waskaji wangu walisita home walinipa vizingiti lakini nikaamua liwalo na liwe nikaanza maisha ya kitaa kwa mwanzo nikawa naenda mitaa ya mazimbu nacheza pool na kubet nikahangaika baada ya miwz miwil nikapata kazi hotel moja nikaomba kuingia usiku nikapata na shule ya kufundisha asubuh jion hotelin nilikaa almost mwaka nikahamia dar ndio nikajichanga nikaanza biashara ya tigo pesa ndio ikawa basi tena maisha yanasonga kujilipua ni muhimu sema wengu sio risk takers!!
 
Hii thread inanihamasisha mpango nnaotaka kuufanya mwezi huu....nimeahirisha kupanga kwa miezi mi3 nikiwa naweka kwanza biashara yangu vizuri

Now nipo fresh...biashara inaenda nna mpango mwezi huu tar 30 nichomoke

Sema napo km nnaanza kuahirisha...nataka pia hela ya mwezi huu niiweke kwenye biashara

Ila kiukweli kabisaa nmeamua mwezi huu kusepa

Sofa lipo tyr
Kitanda tyr
Subwoofer lipo tyr
Vyombo kila kitu tyr
Bado carpet tyuuu

Ukikaa gheto akili inakua
Hahah yani make sure unahama kweli..vinginevyo unashangaa mwaka unaisha upo tu...inahtaj commitement kweli...kunakuaga kama na kauzito kutoka
 
[emoji38][emoji38][emoji38] we jamaa kiboko....ila nice mkuu umesepa hom...Sasa uyo manz wako akikuta huu uzi utapata tabu mkuu
Daaah....mimi beki tatu ndio alinitoa home maana alikuja bibi kutoka kijijini kwetu sasa ule mchezo wetu wa kukwichi kwichi ukaisha maana bibi yupo home full time.

Sasa akaniambia si uhame nyumbani uende ukakae chuo kama wenzako...Nika mwambia ela ya chakula na nauli nani atagharamia akaniambia nisikae mbali sana na chuo then chakula atajua cha kufanya.

Kidume nikavuta mpunga wa hostel nikaenda kutafuta chumba uswazi nikaweka carpet la bei rahisi na godoro nikalaza chini na kafeni ka Tsh 35...Mdogo mdogo nikavuta sabufa ya Tsh 85...Mother kaja Ghetto kucheki akaniambia nikachukue kitanda home au nichongeshe.Nikachonga kitanda.

Daaaah mdada wa watu akawa anasema anaenda maombi kila Jmos (alikuwa msabato)Anakuja asubuhi gheto napiga mzigo anaondoka saa 11 jioni. Alikuwa anaiba mchele,Unga,Sukari na Mazagazaga mengine anampa bodaboda ananiletea.

Maisha yalikuwa mpaka nikamaliza chuo Gheto limesheheni kila kitu mpaka sofa na fridge nikavuta chumba na sebule kwa udhamin wa demu wangu wa chuo aliniambia pesa yake ya hostel tupange chumba na sebule...Mimi nimesha maliza nilimuacha chuo alafu sina kazi...Kwahiyo Kodi haikuwa stress kwangu wala chakula issue ni pesa ya mimi mfukoni na mambo mengine.

Sasa basi demu wangu wa chuo nilimpanga nikamwambia kila jmos Mama mdogo(Beki Tatu) anakuja kunitembelea na kuniletea vitu akikuta itakuwa soo home....Na vile Beki tatu alikuwa mkubwa kwangu na umbo kubwa basi baby wangu akajua kweli yule mother mdogo.

Alafu na Beki Tatu nae nikampanga nikamwambia now nimepata wanafunzi nawafundisha watakuwa wanakuja hapa jmos kuanzia saa 7mchana (Nilifanya hivyo kumpunguza muda wa kukaa na mimi).

Hivyo ndivyo ilivyo kuwa na kujichanganya kwangu kitaa nikawa napata cent za mboga huku baby wangu akiwa darasani anapiga kitabu....But hutukuja kufanikiwa kuwa wote.
 
Niliamua mwenyewe kwamba nahama, alafu sikusema. Nikanunua Kila Kitu ndani kwa siku moja ( nilikuwa na hela). Nikaa kama mwezi , nikasikia nyumbani kinawaka Mama hadi wajomba pia zangu wanawaka. Nakawapigia simu mmoja moja nikawaambia Mzee wangu hakuwa na Shida ila Mama ilikuwa taabu nakumbuka hadi nilimwambia " aah! sasa hivi nina marafiki wengi kuliko mwanzo, nina Marafiki wa Kiume na Kike pia alafu Mamaangu sasa hivi nakosa uhuru hapo kwako kuna mambo mengine siwezi kufanya nikiwa hapo ila nikiwa peke yangu nafanya. Najua hata hapo kwako siwezi kukaa milele, nitatoka na huu ndio muda wa kutoka" Mama akacheka akaniambia basi usipende kupikapika saana muda mwingine uwe unakula kwa Mama au Baba lishe ( hili neno lake nililing'amua baadae sana).
Maisha yanaendelea, haki nimejifunza mambo mengi huku kitaa!
Kwanini alikuambia usipende kupika pika?
 
Kibingwa sana mkuu...ulisepa mapema sana
NILIONDOKA KWA MLEZI NA KUANZA KULALA GUEST TAKRIBANI MIEZI MIWILI.....
Nakumbuka ni baada tu ya kumaliza form four,nlikua naishi na mlezi tu hivyo kwa kiasi fulani nilikua kila nikitafakari juu ya hatma ya maisha yangu nikawa najiona sina changu pale katika ile nyumba.
Basi, ilikua ni takribani wiki mbili tu tangu nilipo maliza mtihani wangu wa kidato cha nne ndipo morale wa kuhama pale kwa mlezi wangu ulipo kuwa ukizidi.
Hivyo sikua na muda wa kupoteza,nikaingia street kupiga manual works.
Haikuchukua hata week moja nikajitupia kwa wanangu wa Tigo(MCL communication). Kipindi hicho ile promo ya "toa buku urudishiwe buku" na "Facebook bure". Nikapewa CODE ya kusajilia nikiwa kama "FREE LENCER",siku hiyo naanza kazi kumbe ndio siku "Tigo promo" inaanza(hii inahusisha safari katika maeneo mbalimbali).
Basi ndugu,nikaunga nao safari,na huo ndo ukawa mwisho wa kuishi home. Tulipiga kazi almost two months,mwanzo ulikua mgumu kwani sikua na uzoefu,ila baada ya kuzoea tu ile kazi nikawa napiga pesa sana.
Siku zote hizo makazi yetu yalikua ni guest,yani mkichukua double room basi mnalala wanne then mnachanga pesa.
Tulipo rudi sikutaka tena kurudi home kabisa,hapo ndipo maisha ya gheto yalipo anzia.
 
Kwel mkuu issue ni uwoga tu wa maisha...yan hukutaka kurudisha kwa kipa kabisaa
Mimi ilikuwa 2014 semistar ya kwanza mwaka wa mwisho nilitafuta geto maeneo ya kihonda nilipohitimu chuo mzumbe julai 2014 nikagoma kurud home japo waskaji wangu walisita home walinipa vizingiti lakini nikaamua liwalo na liwe nikaanza maisha ya kitaa kwa mwanzo nikawa naenda mitaa ya mazimbu nacheza pool na kubet nikahangaika baada ya miwz miwil nikapata kazi hotel moja nikaomba kuingia usiku nikapata na shule ya kufundisha asubuh jion hotelin nilikaa almost mwaka nikahamia dar ndio nikajichanga nikaanza biashara ya tigo pesa ndio ikawa basi tena maisha yanasonga kujilipua ni muhimu sema wengu sio risk takers!!
 
Aisee, nimekufatilia Kwa umakini historia yako inahamasishaa yan,vipi hizo biashara zako chips & saloon ziliendelea poa ?
Yah zinaendelea poa mkuu,nimejitahidi kuboresha kwa kiasi kikubwa,pia kwa sasa nimeongeza baadhi ya vitega uchumi. Ila before maisha hayo nimepitia msoto mkali sana mkuu,hali hii iliniathiri sana Psychologically ndo sababu ya kuanza kujitegemea mapema. Anyways acha yapite, nmeamua kufupisha tu story
 
Pole na hongera Kwa kupitia huo msoto ndyo maana Leo upo hapo ulipofika mkuu,safi sana Kwa vitega uchumi. Mungu ni mwema Kwa watu wake.
 
Back
Top Bottom