Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Acha alafu wanachagua kazi ni balaaa wanazan kodi unaokota yan wanavurugu kwanza wanakunyima Uhuru mm kwa kweli kukaa getho na maslay inahitaj uvumilivu
Kwanza una moyo!?? Kukaa room moja zaidi ya watu wawili? Hahahahahaah tena maslay kwini hawapendi kupika!!! Hongera bora ulivyoachana nao.... Mimi siwezi, napenda utulivu Muda wote, sipendi mtu ambae hapendi kupika au kufanya usafi...... Siku zote nakaa mwenyewe tu