Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Kama Wewe Umepanga Kwenye Chumba Kimoja A.K.A Ghetto,Hebu Nipe Motivational Speech au Ushauri.
..
Me Nina Miaka 21 Nimechoka Kukaa Nyumbani!!
 
The same kwangu. Niko ghetto kwakuwa niko chuo, sikutaka habari za hostel. Mfano nisingefaulu nisingekuja ghetto maana ningekuwa nakusanya hela ya maana kununua vitu vingi zaidi. Wakati niko home nasubiri kuja chuo nilikuwa natoka saa 12 narudi saa 2 usiku daily jambo ambalo lingenifanya nisiweze kupanga.
 
Ghetto langu la kibabe
20200201_151022.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia humo mkuu....Kuna kila aina ya inspiration

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiite ghetto chumba unachoishi..ita majina ya hadhi kama Mjengo,Apartment, Five star room etc...
Usifanye danguro Mjengo wako
Naelekea mwaka 2 hajakanyaga mwanamke yyte, chumba ninacholala mm nakichukulia sehemu takatifu ( ndo msimamo wangu).


Wote wanachinjiwa guest

ARUSHA KWETU
 
Back
Top Bottom