Kijana Mtoto
Member
- Feb 2, 2020
- 12
- 60
Kama Wewe Umepanga Kwenye Chumba Kimoja A.K.A Ghetto,Hebu Nipe Motivational Speech au Ushauri.
..
Me Nina Miaka 21 Nimechoka Kukaa Nyumbani!!
..
Me Nina Miaka 21 Nimechoka Kukaa Nyumbani!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama flow ya pesa ipo geto utapapenda, lkn kama maji kuowa maji kujaa utajiuliza wanawezajeKama Wewe Umepanga Kwenye Chumba Kimoja A.K.A Ghetto,Hebu Nipe Motivational Speech au Ushauri.
..
Me Nina Miaka 21 Nimechoka Kukaa Nyumbani!!
Pamoja Mkuu
kuchoka kukaa nyumbani ni moja ya hatua za kukaa gheto
Shida Ni Pesa Tuuu
Kama flow ya pesa ipo geto utapapenda, lkn kama maji kuowa maji kujaa utajiuliza wanawezaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina, me silipendi hili jina.Usiite ghetto chumba unachoishi..ita majina ya hadhi kama Mjengo,Apartment, Five star room etc...
Usifanye danguro Mjengo wako
Pitia humo mkuu....Kuna kila aina ya inspirationUlianzaje kukaa gheto?
Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea. Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani, mbaya zaidi...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelekea mwaka 2 hajakanyaga mwanamke yyte, chumba ninacholala mm nakichukulia sehemu takatifu ( ndo msimamo wangu).Usiite ghetto chumba unachoishi..ita majina ya hadhi kama Mjengo,Apartment, Five star room etc...
Usifanye danguro Mjengo wako