Griseofulvin
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,012
- 1,995
Alipiga picha akaondoka [emoji124][emoji124]nikabaki aloneUmemsahau mpiga picha mkuu [emoji2]
Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipiga picha akaondoka [emoji124][emoji124]nikabaki aloneUmemsahau mpiga picha mkuu [emoji2]
Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
[emoji3][emoji1][emoji28][emoji38][emoji2]Aiseeee mademu wa humu watakutamanije na ulivyo poa hilo poozzy hallo
Ndio halafu hilo jina lako kuna friend wangu mmoja nae anajiita hvo usjekua ndio ww mkuu, dunia ndogo hii [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hujui wabongo wengi tunaishi storeDuuh! Ghetto na bodaboda humohumo aisee
Weka mkuu inatoa hamasa kwa wengine ukiangalia huko juu kwenye uzi kuna watu wameweka room ikiwa na godoro na ndoo tu.Mimi nimeanza kukaa ghetto baada ya kusoma huu uzi nikatokea kutopenda hostel. Nilitafuta room mapema hata sikuulizia hostel. Chumba kipo nyumba salama na yenye ulinzi ingawa ni kidogo. Siwezi weka picha maana nina godoro, kapeti,feni, shoe rack. Sina kabati, tv, subwoofer wala madoido mengine. Hajawahi ingia demu kwenye room yangu. Nakusanya shilingi kadhaa nahisi nikiwa second year mwishoni ninunue kila kitu.
Hapana hayo ni maneno, mimi najua kila mtu anaish kulingana na uwezo wake
Halafu kipa kadaka badala ya kupiga2020 hii hamna alierudisha mpira kwa kipa?!
Mjengo hata kama nimepanga chumba kimojaNawewe upo kwenye mjengo mkuu?