Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Wazazi walihamia kikaza Moro mwaka 1999 walipanga,me nilikua vidudu,baada ya kumaliza kazi,wakahama Moro mwaka 2009

me nilikua secondary school nikashindwa kuhama Moro nilikua form 6 halafu shule ya kutwa so nikawa nakaa geto la bro ambae alikua houseboy wetu mtaa mwingine,bro fear Kula kulala bureeee sichangii nikamaliza shule, kurudi kwetu sitaki lol,,nikaa na bro kama miaka 3,,nafanya kazi fedha zangu Bata mademu,,mwaka 2013 bro kanambia anataka kuoa so pale atahama chumba ataniachia ila kwa kuanzia atanilipa Kodi miezi 6,,kweli December akaoa Kodi hajanilipia,akasema kumaliza pesa kwenye harusi,,Kodi elfu 50 kwa mwezi inatakiwa tsh 300000 mfukoni nina elfu 20000,nakumbuka niliuza iPhone yangu 5s laki 400 ndio nikapata Kodi,tangu hapo Hadi leo sijawahi kulala kwa mama na baba,hata kwa bahati mbaya
 
Mimi nimeanza kukaa ghetto baada ya kusoma huu uzi nikatokea kutopenda hostel. Nilitafuta room mapema hata sikuulizia hostel. Chumba kipo nyumba salama na yenye ulinzi ingawa ni kidogo. Siwezi weka picha maana nina godoro, kapeti,feni, shoe rack. Sina kabati, tv, subwoofer wala madoido mengine. Hajawahi ingia demu kwenye room yangu. Nakusanya shilingi kadhaa nahisi nikiwa second year mwishoni ninunue kila kitu.
Weka mkuu inatoa hamasa kwa wengine ukiangalia huko juu kwenye uzi kuna watu wameweka room ikiwa na godoro na ndoo tu.
 
Back
Top Bottom