Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Duuhhh Kazi kweli kweli.

Binafsi nimebaini Sisi weusi (waafrika) hatutaweza kuendelea kwa haraka na kuufukuza umasikini. Kila anaepanga anasema alipanga ili ipate akili ya maisha. Haya mmepata akili ya maisha mbona umasikini ungali umetamalaki?

Zamani katika baadhi ya jamii (mfano wasukuma) ulikuwa unaoa ukiwa nyumbani kisha unakaa nyumbani. Baada ya muda kupita unaruhusiwa kwenda kujitegemea. Hii nimeioana kwa wahindi na waarabu pia.

Familia inahitaji kushikamana na kuwa na upendo ili kutusua lakini kwa ngozi nyeusi maisha ni mapambano. Unapambana na Baba au mama utafika wapi zaidi ya kuangukia Pua. Tuzienzi mila zetu kwa kufanya utambuzi wa kubaini zilikuwa na tija ipi katika ustawi na maendeleo kwa ukoo na jamii
 
Sasa Mkuu Yani upo karne yA 21 tena muongo miwili imekwisha unaenda Watatu unaongelea mambo ya Mila tena za zamani
Huko zamani Babu anamiliki mashamba Kama Kata yA ILALA hivi unapata shamba eneo LA kujenga
Sasa saa hizi unakuta Baba na yeye Amepanga sasa chumba na sebule unataka tuoe humo humo ndio mambo ya Bibi alale na mke wako Na mjukuu chumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kawaida mkuu...ni kwakuw unaenda kuanza safari mpya...!!mimi nlkaaga mwezi mzima
Nilipanga kuhama home mwezi huu Nimelipa kila kitu tayari changamoto bado napapenda home Kama Nina kauoga hivi kila siku nasema kesho nahamia jumamosi jumapili hii week ya 3 sasa napeleka nanunua vitu nikitoka mission napeleka Baada ya muda nafunga mlango narudi home nasema bado bado

Maombi yenu jamani wadau

N.B motisha imetokea kwenye huu uzi nilipania mwaka huu naenda kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wa mtu ndio alifanya nianze kuishi ghetto peke yangu. Mpaka leo hua nnamshukuru saana yule dada. Wanawake mnaakili saana [emoji109][emoji109][emoji109] niwe mkweli bila yy mpaka sasa ningekua nnaishi ghetto na masela yan full mvululu. Mwanamke alijua kunishauri yule alinipa msaada wa kila ninacho hitaji ili niweze kuishi peke yangu. Mungu ni mwema niliweza kutoka kwenye ghetto changanyikeni mpaka kuishi mwenyewe. Sasa nnaujua uchungu wa kodi, uchungu wa vitu nilivyonunua kwa senti zangu. Uchungu wa kulipia bills, utamu wa ghetto na uchungu wake. Yote kwa yote Kuna wanawake wanajua kushauri aisee! Ila ndio vile washaolewa n mijamaa mibandidu yani

Sent using Jamii Forums mobile app
Lijamaa linjemba tu boya flan hivi
 
Nilipanga kuhama home mwezi huu Nimelipa kila kitu tayari changamoto bado napapenda home Kama Nina kauoga hivi kila siku nasema kesho nahamia jumamosi jumapili hii week ya 3 sasa napeleka nanunua vitu nikitoka mission napeleka Baada ya muda nafunga mlango narudi home nasema bado bado

Maombi yenu jamani wadau

N.B motisha imetokea kwenye huu uzi nilipania mwaka huu naenda kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta mtu ukae naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nnayopitia hapa nnapoishi mwaka Huu hauishi I'll be out.

Thomas Sankara once said "he who Feeds you Controls You"

We unaona Unakua ila mlezi bado anakuona kama A Ten Year Old. It hurts. Hasa kufokewa mbele za watu.

Anyway it's time to find out who I really am. Ugali wa Bure kwa mtoto wa kiume una karaha Sana.

Nashkuru Sana mleta uzi na wachangiaji wote. Mmenifunza Mno. Nadhani muda umefika Sasa for the bird to get out of the cage.

Beyonce - Formation
 
Ugali wa Bure kwa mtoto wa kiume una karaha Sana. (point to note)

"Not everything is for everybody"
 
Kufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
Hongera sana kaka Jerry Mungu awasimamie kwa kila hatua umekua role model wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilihamia geto mwezi wa 2 mwanzoni nimelipa kodi na kununua baadhi ya mazaga ila kimbembe huu ugonjwa sasa kazi imesimama nina hela ya mawazo na kodi ni mwezi ujao nawaza nifanyeje hapa ila naamini ntatoboa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ugonjwa umeharbu mambo mengi sana

Yess bishoo hasWaaaa
 
Words
Kwa nnayopitia hapa nnapoishi mwaka Huu hauishi I'll be out.

Thomas Sankara once said "he who Feeds you Controls You"

We unaona Unakua ila mlezi bado anakuona kama A Ten Year Old. It hurts. Hasa kufokewa mbele za watu.

Anyway it's time to find out who I really am. Ugali wa Bure kwa mtoto wa kiume una karaha Sana.

Nashkuru Sana mleta uzi na wachangiaji wote. Mmenifunza Mno. Nadhani muda umefika Sasa for the bird to get out of the cage.

Beyonce - Formation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipanga kuhama home mwezi huu Nimelipa kila kitu tayari changamoto bado napapenda home Kama Nina kauoga hivi kila siku nasema kesho nahamia jumamosi jumapili hii week ya 3 sasa napeleka nanunua vitu nikitoka mission napeleka Baada ya muda nafunga mlango narudi home nasema bado bado

Maombi yenu jamani wadau

N.B motisha imetokea kwenye huu uzi nilipania mwaka huu naenda kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kimbia mkuu hilo ni Pepo halitak utoke[emoji3]

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom