Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Ghetto baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikarudi kwa kipa ila sasa mambo ya home sijui wadogo zako wako shule kaka zako washaoa na dada washaolewa.

kutumwa royco mchuzi mix, simba 2, steel wire dah! Nkaona haya yote ya nin kidume na kidev changu kimejaa mzuzu kwanza mshua anakata jicho unafuga ndevu nyngi kweny nyumba yake.

Bas nkaona ngoja nirudishe tena majeshi nkarud pasi ndefu za kutosha na kupiga vibarua nkaotea 250,000 chap kulipia kodi hustle zikaanza tena Jah akabless, machalii zangu tukapeana harakati za hapa na pale ndogo ndogo mpaka sasa mungu ni mkubwa kidume napambana 2021 inshallah nataka nivute jiko ndan[emoji41]
Dah kwel acha iwe tu mkuu
 
dah nlkaa geto cku naamia kwanza n mlman wapangaj wanaona jamaa lmekuja na beg mgongon na ndoo mbil tu geto nkapewa funguo nkazama ndan apo nna elf 30 tu mfukon hata godoro cna jko cna yan cna kila ktu maisha haya kuna cku nkikumbukaga izo moment ua nacheka mwenyew mana nguo za kwenye beg ndio zlkua godoro
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wakuu mambo vp,
raha ya gheto kukamilike hata kama ujajaza inavyotakiwa lakini ukiwa na kitanda sio mbaya.
5*6 hiki hapa inatakiwa 230000 tu
20200802_131043.jpg
 
Back
Top Bottom