Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 4,893
- 6,599
Shingapi hiyoMambo ya geto mzik mzur tu [emoji3]View attachment 1709099
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shingapi hiyoMambo ya geto mzik mzur tu [emoji3]View attachment 1709099
Na kwanini nipagawe kisa geto la mwanaume? Simply hizo ni tamaa tena za kishamba au pengine I'm too old ndio maana naona ni mambo yasiyowezekana kufanywa na mtu mzima unless you're dating studentsKwaiyo sasa ww ili upgawe kidgo inabd geto liweje yan[emoji3]
Izo ni levels tu mkuu...unaweza usipagawe na geto Af ukadakwa kwa gari...kila mtu na levels zakeNa kwanini nipagawe kisa geto la mwanaume? Simply hizo ni tamaa tena za kishamba au pengine I'm too old ndio maana naona ni mambo yasiyowezekana kufanywa na mtu mzima unless you're dating students
Hapo kuna mawili ......either kaachiwa na ndugu yake .......au aliuziwa na wale last year.....yan unauziwa vyote vilivyomo getoMkuu getto la cocastic lina kila kitu..liko standard according to yeye..ndomana hapa mimi nataka nimtembelee nijifunze mengi kutoka kwake...
Kisu cha nini hicho?Maisha ya geto rahaaa sanaaaaView attachment 1710324
Unga + weedMkuu under 23 harakati gani unaua
Actually sio kupagawa kiivyo...tutumie lugha nzur...kuvutiwa au kupenda room.. unavutiwa na room ikiwa vipi yani..hop hii inasound poaNa kwanini nipagawe kisa geto la mwanaume? Simply hizo ni tamaa tena za kishamba au pengine I'm too old ndio maana naona ni mambo yasiyowezekana kufanywa na mtu mzima unless you're dating students
Home jau tu yaani unaamshwa asubuhi ukanunue vitafunio mara majani ya chaiMkuu ebu tupeane connection unapiga mishe gani kiongoz upo under 23 lkn vitu unavyomiliki ni hatàr anyway hongera lkn big up focus
Nipe code na mm mkuuu nichomoke mahome maana sielewi
Kwani wanachuo wanafanana uwezo? Au unadhan wote wanaishi kwa kutegemea boom? We nae khaaah tembea uone.Kulikuta geto la mwanachuo ...ambalo lipo standard ni kaz sana [emoji23][emoji23] mwenyew ingawa nimeanza chuo ...mwaka huu but ....cjafikia hyo level
Uko sahihi sana dea.
Hapa sasa umenena.Na kwanini nipagawe kisa geto la mwanaume? Simply hizo ni tamaa tena za kishamba au pengine I'm too old ndio maana naona ni mambo yasiyowezekana kufanywa na mtu mzima unless you're dating students
Jitahidi upate.Mimi Sina nisiseme uongo😂
Exactly now tunaweza kwenda sawa. Hapa watu wanapost ili wengine wawe inspired. MF. Yule braza kapost TV show case kwa ambaye hana atakuwa inspired aanze kujichanga na yeye avute.Actually sio kupagawa kiivyo...tutumie lugha nzur...kuvutiwa au kupenda room.. unavutiwa na room ya ikiwa vipi yani..hop hii inasound poa
Si uwawekee picha dogo 😀😀Kwangu mie liko standard kwani lina kitu cha muhimu, na vyote ambavyo kwangu ni must kuwepo.
Kweli unauliza kisu cha nini?Kisu cha nini hicho?
Big time!!! We...hutak harufu nzito nzito kbisaa[emoji119]Exactly now tunaweza kwenda sawa. Hapa watu wanapost ili wengine wawe inspired. MF. Yule braza kapost TV show case kwa ambaye hana atakuwa inspired aanze kujichanga na yeye avute.
Sina mambo makubwa sana, navutiwa na usafi, mpangilio wa vitu unaoeleweka, ndani kusiwe na harufu nzito nzito zisizoeleweka nk
Kama unatumia fb kuna groups za magheto yamepambika haswa utafurahi kusafisha macho.Exactly now tunaweza kwenda sawa. Hapa watu wanapost ili wengine wawe inspired. MF. Yule braza kapost TV show case kwa ambaye hana atakuwa inspired aanze kujichanga na yeye avute.
Sina mambo makubwa sana, navutiwa na usafi, mpangilio wa vitu unaoeleweka, ndani kusiwe na harufu nzito nzito zisizoeleweka nk