Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Miezi 9 iliyopita wakati nasoma huu uzi kwa mara ya kwanza sikuw na getto...nilihamasika sana na kupania kuwa na getto langu...leo nipo getto...naenjoy TRACE MUSIC, TAARIFA YA HABARI na games tofauti za soka...hasira zinazidi kuzidi na naamini miezi 6 ijayo nitakuwa mbali zaidi...GOD BLESS.
 
Big up

Sent from my SM-A805F using JamiiForums mobile app
 
Miezi 9 iliyopita wakati nasoma huu uzi kwa mara ya kwanza sikuw na getto...nilihamasika sana na kupania kuwa na getto langu...leo nipo getto...naenjoy TRACE MUSIC, TAARIFA YA HABARI na games tofauti za soka...hasira zinazidi kuzidi na naamini miezi 6 ijayo nitakuwa mbali zaidi...GOD BLESS.
safi sana mkuu mi bdo cjaanza ilo life asee bdo najipanga soon ntarafuta asee
 
Miezi 9 iliyopita wakati nasoma huu uzi kwa mara ya kwanza sikuw na getto...nilihamasika sana na kupania kuwa na getto langu...leo nipo getto...naenjoy TRACE MUSIC, TAARIFA YA HABARI na games tofauti za soka...hasira zinazidi kuzidi na naamini miezi 6 ijayo nitakuwa mbali zaidi...GOD BLESS.
Big time mwamba...kwaiyo saiz unatembea na funguo tu[emoji3]
 
"bwana mdogo umeshakuw mkubwa kamata hii elfu 50 ,kesho umwambie mama yako akupe ndoo 2 na sufuria 3 mengine yatakuja mbele ya safari."

kuna wazaz n wakatili ila nawashukuru hapa nilipofika sasaivi wahuni wananicheki "oya mwana upo getho tuje kucheki mechi.

zaman nikitongoza mademu walikuw wanauliza "unaishi kwenu au kwako"
 
Ur grown up
 
Hivi unaweza kuanza kupanga geto kwa mshahara wa 200,000 kwa mwezi? Kumbuka hapo huna kitu hata kimoja huna hata kijiko hunaaaa.
Inawezekana kiongozi japo inachukua muda kidogo...Hapo inabidi ufanye saving kwa muda wa japo 3 months...let say kila mwezi unaweka 120k akiba (I assume unaishi na kula nyumbani sasa hivi) ..baada ya miezi mitatu unapata 360...hapo unalipia room ya 40k miezi mitatu (120)...then 240 inayobaki unanunua jiko la gesi, sufuria na godoro (anzia godoro used kwanza as long as una nia ya kweli ya kutoka home). Mpaka hapo maisha yanakuwa yameanza.

Ukihamia kwako, then utaanza kununua kimoja kimoja vitu vya ndani unavyovihitaji...mfano kitanda, radio n.k. Ila TV na FRIDGE inabidi kwanza uviache...Ukiwa unanunua kidogo kidogo mwisho wa siku getto linatimia. Kiufupi inawezekana maana kuna watu wanamiliki mageto kwa kipato cha 100k kwa mwezi

NB: Inatakiwa saving ya hali ya juu na inabidi ujibane sana sana...Jitahidi kupunguza matumizi yako kadri inavyowezekana...na kama unaishi na kula home na hautumii nauli sehemu ya job, matumizi yako kwa mwezi 50k inatosha sana tu...jitahidi kuweka akiba kila mwezi 150k kwa miezi 3 utakuwa na 450k...

sikufichi, asilimia 80 ya sisi tulio na mageto humu ndani, tulianzia chini na kwa kujibana kidogo kidogo leo tumepiga hatua...All the best.
 
wakuu mimi nimemaliza chuo mwaka juzi (2019), kwa sasa nina miaka 29 nipo home bado, nimeangaika kutafuta kazi sijapata, nimesoma huu uzi nimeisi kama nimesha potea kwenye maisha, naombeni mbinu na mimi nichomoke hapa home nikapange wakuu??
 
Vijana vijana
20210226_112440.jpg
 
Back
Top Bottom