Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
HahahahahahahahahahaHongera sana mkuu..
Inaonekana nyumba ya kupanga buza ilikukera hadi ukaamua kwenda kudondosha huo mjengo kiroho mbaya[emoji116][emoji116]..kidding
Natafuta nyumba ya kupanga Buza
Habari za mchana, Samahani kwa usumbufu. Nilikuwa naomba kama mtu yeyote anayejua kama kuna nyumba ya kupanga ipo naomba anijulishe Location: Buza Bei: 150k Nyumba iwe na vyumba viwili, sebule, choo na jiko. Asanteniwww.jamiiforums.com