Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Hapana hapo haitumiki kama unavyodhani mkuu
Hiyo ni box na speaker tu
Kuna machine pembeni
Ila! Ukitaka kuitumia kama inavyouzwa dukani itabidi utafute high currents transformer ndio uwashie
Unajua kwanini?
Umeme wa nyumbn una volts 220 lakini currents ni kama 30 hivi
Ila umeme wa kwenye magari una 12voltage ila currents sasa kindoo
Ndio maana hizi kwenye magari zinakita sana sababu ma currents yapo mengi
Kwahyo ili uitumie nyumbn lazima uwe na transformers hiyo
Ukiweka vi transformers vya subwoofer huwez kupata unachotaka japo itaimba!
umetumia bei gan kuset huo mkito?
 
IMG_2893.jpg

[emoji28][emoji28]
 
Kwanza kabisa niseme wadogo zangu ambao bado mnakula ugali wa shikamoo. Hakuna kama raha kumiliki ghetto lako aseee, usiogope maisha anza kujipanga mdogo mdogo. Nunua godoro lako na jiko lako la gesi inatosha sana kuanza maisha shida wengi wanataka aanze na geto lina kila kitu.

Anza taratibu vitu vingine vinakujaga taratibu, na hapo sasa utakua umeanza pata akili ya Maisha, usikubali ufikishe miaka 25 bado upo kwenu afu mtoto wa kiume. Kama unakaa home trust me wazazi wako lazma wawe na mashaka na wewe.

Mtoto wa kiume kapambane na maisha huna kazi tafuta kazi, ukipigwa na maisha rudi home wakuboost unasepa uanendelea na kupambana utatoboa tu mbna, hata wazazi watakuombea sana wataona wana kijana mpambanaji.

La mwisho usipange gheto ukiwa na mawazo ya kugongea mademu humo akili yako itakua hvohvo na usikubali kuingiza wanawake wasiojoelewa kwenye nyumba/ gheto lako. Kupanga geto ndo mwanzo wa maisha ya kujitegemea mpaka unajenga yako.

Next time nitaleta uzi maisha yangu ya gheto yalianzaje[emoji120]. Msikate tamaa madogo mtafika tu huku.
 
Broo hata kama utakosa Bando nipo tayari kukupatia vocha ya buku ili ushushe madini Hapa!!
 
Brother...Nakuomba hiyo next time iwe leo.
 
Back
Top Bottom