kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Wapi mkuu
Sijakupata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha hii nimeiona mdaaa huu wa msosi alafu nahisi njaaaa kinyamaaView attachment 1877734
Cc @financial services [emoji23]
Binti mmoja kutoka ukereweHongera mzee
Tunamchukua nan mkuu
Mzee hiko kinu hapo.majiran wansemaje?[emoji1787]
Kweli mkuu uishi Zaid 😃Respect pia kwako mkuu kwa kuanza kusoma uzi tangu mwanzo hadi mwisho[emoji119][emoji119][emoji119]...wacha mabaharia wazid kupata moyo
Tv haikupasuka kutokana ma mziki na boxView attachment 1867711
Kitambo hyoo..[emoji16]
Huu mziki unaendaje bei mkuuView attachment 1867711
Kitambo hyoo..[emoji16]
Well said mkuu...ungetuambia ulianzaje sasa kusepa mjengonKwanza niwatoe hofu kwa wale ambao bado hawajaanza kukaa magetoni ni swala tu la muda mimi ni wale watu tunapenda Sana magari, sio mbaya na mimi nikatoa ushuhuda wangu hapa nadhan kwa namna moja ama nyingine naweza kuwa encourage dreamers baada tu ya kupata gheto sijawah kufikiria kuwa na vitu vingi getoni, so baada tu ya kuwa na vitu basic getoni kitu kilichokuwepo akilini ni ndiga,, bas dream came true I got myself ka starlet hapa napika mbishe zangu mtaani heshima ya kutosha sema Sina mishe za totoz tu maana ningekuwa mtu wa pisi kali nadhan ningezila Sana kimasihara,,, kifupi tusiogope wajuba maisha ni hayahaya tukisha kamilisha kuweka Sawa mageto yetu tuanze kufikiria Nje ya box,,, ukiweza ku invest ni vema Zaid ila kama uko kwenye mazingira ambayo yanabana na kufanya investment is to risk your money it's better to live your life
Hongera sana mkuu....Keep pushingOne of the best thread; nina mwezi wa sita sasa tangu nimeamsha home; nilipofika nimekomaa tuu God blesses mambo yasonga
View attachment 1918570
Big up broOne of the best thread; nina mwezi wa sita sasa tangu nimeamsha home; nilipofika nimekomaa tuu God blesses mambo yasonga
View attachment 1918570
Big up bro