Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Kwanza niwatoe hofu kwa wale ambao bado hawajaanza kukaa magetoni ni swala tu la muda mimi ni wale watu tunapenda Sana magari, sio mbaya na mimi nikatoa ushuhuda wangu hapa nadhan kwa namna moja ama nyingine naweza kuwa encourage dreamers baada tu ya kupata gheto sijawah kufikiria kuwa na vitu vingi getoni, so baada tu ya kuwa na vitu basic getoni kitu kilichokuwepo akilini ni ndiga,, bas dream came true I got myself ka starlet hapa napika mbishe zangu mtaani heshima ya kutosha sema Sina mishe za totoz tu maana ningekuwa mtu wa pisi kali nadhan ningezila Sana kimasihara,,, kifupi tusiogope wajuba maisha ni hayahaya tukisha kamilisha kuweka Sawa mageto yetu tuanze kufikiria Nje ya box,,, ukiweza ku invest ni vema Zaid ila kama uko kwenye mazingira ambayo yanabana na kufanya investment is to risk your money it's better to live your life
 
Well said mkuu...ungetuambia ulianzaje sasa kusepa mjengon
 
One of the best thread; nina mwezi wa sita sasa tangu nimeamsha home; nilipofika nimekomaa tuu God blesses mambo yasonga

2425AF32-181A-4422-9967-BAD55C6807FE.jpeg
 
Niombeeni uhai ili mwezi January mwishoni nije kuandika kuhusu mimi na maisha mapya niliyoanza japo bado niko home so i hope January tutashirikishana.
Kila lakheri mkuu
 
Back
Top Bottom