Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

NA MIMI NGOJA NISHEE KIDOGO NILIANZAJE KUKAA GHETTO

Sikuwahi kuamini ntakaa getto labda hadi siku mambo yangu yangekaa sawa na sikujua ni lini [emoji1]...

Kama wewe n kijana ambaye umelose ramani naomba soma hapa...

Baada ya mambo yangu kwenda kombo kuanzia kielimu na kimkakati nikaamua kurudi home.. Aisee aibu hiyo usiombe coz kero n nyingi dharau kama zote... Halafu michongo ikawa haisongi kabisa washikaji zangu wengi wako mikoa mingine, wengine washaoa na wengine wana michongo kadha wa kadha dah. Wakati Mimi sina A wala B..

Basi mwaka huu mwezi wa sita nikapiga dili za hapa na pale nikapata vilaki kadhaa nikaapa safari hii sifanyi biashara yyt bora nipange geto langu tu hata kama ntakua nalala njaa but niwe Huru... Langa aliwahi kuimba bora kurogwa kuliko kukosa Uhuru.. Sasa nilikua nimekereka sana na maisha ya home hata mademu nilikua nikipata wananiuliza hivi unakaa kwenu au umepanga nikisema kwetu inakua tabu wengine nilishindwa kula tunda kimasihara.. Shahidi Riki boy [emoji1][emoji1787]

Basi bana nikapata room tsh 30k per month bahati nzuri huku mkoani n bonge la chumba kwa hiyo bei full marumaru... Na Mimi nilipangilia 60k iwe kwa ajili ya rent nikapay na kuanza life nakumbuka siku ya kwanza nilikua na kitanda tu 4 kwa 6 na dogoro langu la bei chee.. Da hata kuna manzi alinitembelea niliona aibu sana.

To cut a story nashukuru Mungu nimekuwa nikipiga vibarua na kununua baadhi ya vitu vya ndani hadi sasa japo sijafika viwango navyotamani but at least nina amani ya moyo hata mgeni anaweza nitembelea akala akaoga na kulala...[emoji16] Maisha ya home yasikie tu mambo ya kuamushwa kuchota maji au kusafisha uwanja ili Nile ugali wa shikamoo yalinitesa sana... Nashukuru Mungu sasahivi nipo huru now nimejifunza sana maisha hata jero ina thamani sana na pia najichanganya sana kwenye madili mbalimbali sichagui kazi na nshapiga kazi ambazo sikiwahi kuamini kama ntazimudu[emoji6][emoji23]... Kubwa zaidi nimepata na mchumba if God wish tutaoana very soon japo nimepitia machungu but final I can smile now... Niishie hapo.. Kijana usiogope kutoka nyumbani Mungu atakupigania niseme tu ukweli ukiwa home huwezi pata akili ya kufight maisha yaani hizo harakati nazopiga ili nisifukuzwe nilipopanga ningezipiga wakati nipo home basi ningekua mbali mno.... Na mengi sana ya kusimulia but niishie hapa kwa leo.

Mungu ni muweza

Cc Wakipekee
 
NA MIMI NGOJA NISHEE KIDOGO NILIANZAJE KUKAA GHETTO

Sikuwahi kuamini ntakaa getto labda hadi siku mambo yangu yangekaa sawa na sikujua ni lini [emoji1]...

Kama wewe n kijana ambaye umelose ramani naomba soma hapa...

Baada ya mambo yangu kwenda kombo kuanzia kielimu na kimkakati nikaamua kurudi home.. Aisee aibu hiyo usiombe coz kero n nyingi dharau kama zote... Halafu michongo ikawa haisongi kabisa washikaji zangu wengi wako mikoa mingine, wengine washaoa na wengine wana michongo kadha wa kadha dah. Wakati Mimi sina A wala B..

Basi mwaka huu mwezi wa sita nikapiga dili za hapa na pale nikapata vilaki kadhaa nikaapa safari hii sifanyi biashara yyt bora nipange geto langu tu hata kama ntakua nalala njaa but niwe Huru... Langa aliwahi kuimba bora kurogwa kuliko kukosa Uhuru.. Sasa nilikua nimekereka sana na maisha ya home hata mademu nilikua nikipata wananiuliza hivi unakaa kwenu au umepanga nikisema kwetu inakua tabu wengine nilishindwa kula tunda kimasihara.. Shahidi Riki boy [emoji1][emoji1787]

Basi bana nikapata room tsh 30k per month bahati nzuri huku mkoani n bonge la chumba kwa hiyo bei full marumaru... Na Mimi nilipangilia 60k iwe kwa ajili ya rent kinapay na kuanza life nakumbuka siku ya kwanza nilikua na kitanda tu 4 kwa 6 na dogoro langu la bei chee.. Da hata kuna manzi alinitembelea niliona aibu sana.

Safi sana kula like, sijui ntajenga lini niachane na chama la wenye magheto
 
[emoji1787][emoji1787] dah mishe za kufagia uwanja ukaona sio kweli[emoji16][emoji16]

Aisee big up sana mkuu.. kwaiyo saiz unakula tunda kama utani [emoji1]
 
Mkuu umegusa mulemule mambo ya kuamshwa na kupangiwa ratba na madingi achana nayo
 
[emoji1787][emoji1787] dah mishe za kufagia uwanja ukaona sio kweli[emoji16][emoji16]

Aisee big up sana mkuu.. kwaiyo saiz unakula tunda kama utani [emoji1]
Noma mkuu ...[emoji3]
 
Hii siredi inanipa hamasa kubwa mno, mimi kwasasa sipo kwa wazazi maana wazazi wako pande za Bujumbura na mimi niko pande za papa misifa(Kinshasa DRCongo) na nna mwaka mmoja tangu nidondoke pande hizi nina job japo hailipi sana ki vile ila bado nnaisha na brother.

Nnapanga kumtoka bro na haifiki october maana kama brother hanipi freedom lote tayari maandalizi ya vitu vya ndani nimesha yaanza nina godoro langu, feni na vingine vidogo vyakuanza ghetto life ila kila nikisoma comments nnatamani ata nipasuwe kesho yani

#Proud_to_be_a_domo_ZEGE

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hashtag vp mkuu
 
Dah mi geto nlianza kukaa baada ya kukosa chumba chuo mwaka wa kwanza,basi nikawa sina jinsi zaidi ya kupanga,basi nkaanza na kitanda na feni tu then nkampa mwenye nyumba hela ya miezi sita,but siku nahamia tu nkawaza je ntakaa kujitegemea maisha yangu yote?au ntapanga then mwisho wa siku ntarudi home?kurudi home kiukweli nilikataa hivyo nikaanza hatua ya kwanza ya kujiandikisha masomo ya jioni chuoni(evening class)basi week ya kwanza nikaanza kitabu but huku mchana wakat nipo geto nkawa natoka kutafuta channel za kazi za kufanya,basi nkapata boda boda kwa siku 15 kwa mkaaba wa mwaka,nkawa napiga kila siku then jioni naingia chuo usiku mpka saa 7 ndo nalala huku nikiwa nahakikisha lazima nilale na 30 mpka 20,basi nilifanya hivyo kwa mwaka mzima huku boom likiwa linaingia na huku nikiwa nnaingiza hela hyo mpka zaidi per day,mwaka wa pili nakumbuka ndo nipo na mke wangu maana tulitoka ote high school na tukawa chuo kimoja hivyo mwaka wa 2,hela yake ya hostel akaitoa na mm nikatoa mara mbili ya ile akawa anazungushia kwenye biashara huku akiwa amehamia ninapokaa wakati huo nmehama zangu geto sasa nnachumba na baraza yenye kila kitu ndani.Basi biashara yetu ambayo tulikuwa most tunaifanya online pamoja na maofisini huku yeye akibase kwa vitu vya wanawake huku na mimi nikibase kwa wanaume basi nkawa nawasambaza watu na boda boda mchana wakati huo piki piki ikiwa yangu tayari.basi miezi mi 3 baadae dem akanasa mimba,so alivyoenda kwao likizo kumbka kwao nlikuwa sifahamiki,dah maza wake akashtuka kuwa dogo anamimba aliwaka kichizi na walimtisha mno ,huku wakitaka niende kuchukua mzigo wangu(means)mke wangu

dah umepambana sana mwamba
 
1st year baada ya kupata boom nikaamua kuhama rasmi home ili na mimi niwe na uhuru wangu[emoji23] maana beki3 alizua kizaazaa.

Nilipanga uswahilini aisee wauni kama wote,Mama mwenye nyumba na watoto wake 'miksa' kujiuza jioni ikifika..

Nilichukua godoro home,Nikanunua kitanda,sufuria nne,mwiko+vijiko na brenda ya kusagia nyanya[emoji23] na jiko la mchina..ndoo zangu mbili(ya kunywa na ya chooni),

Boom la 2 nikanunua bufa aisee [emoji3],Maana gheto bila bufa hilo sio gheto kabisa,Nikikumbuka yale maisha niliyoishi bila bufa Dah!![emoji3064] Pia nikanunua baadhi ya vitu vingine vya ndani kama kapeti na feni .

Muda ulivokua unazidi na ndo nilikua nazidi kuongeza vitu ndani..hadi anaingia 2nd year gheto lilikua la kinyama aisee,kama lile aliloliimba marehemu Ngwair[emoji23](jokes).

Kiukweli hela za bodi zilinisaidia sana na mm kuanzisha ufalme wangu...

Raha ya gheto iwe na red carpet aisee..[emoji12]
 
Mwaka wa 2 huu Ghetto! Nashukuru Mungu sina dalili ya kurudisha mpira kwa kipa(home). Naenjoy kupika chochote nnachopenda na kuamua mimi, mfano this weekend nimegoogle jinsi ya kupika kuku kama KFC vile nataka nijaribu nione😂😂😂 raha sana.

Kuna siku niliamka sina pesa kabisa aisee nikatafuta kila sehemu nilipowekaga hata coins sehemu zote kabatini uvunguni dah nikapata nikanunua zangu mihogo kachumbari mixer pepsi maisha yakaendelea😂😂. Na hiyo siku mother house naye akanikumbusha kulipa maji na umeme nikachoka kabisa.
 
Mwaka wa 2 huu Ghetto! Nashukuru Mungu sina dalili ya kurudisha mpira kwa kipa(home). Naenjoy kupika chochote nnachopenda na kuamua mimi, mfano this weekend nimegoogle jinsi ya kupika kuku kama KFC vile nataka nijaribu nione[emoji23][emoji23][emoji23] raha sana.

Kuna siku niliamka sina pesa kabisa aisee nikatafuta kila sehemu nilipowekaga hata coins sehemu zote kabatini uvunguni dah nikapata nikanunua zangu mihogo kachumbari mixer pepsi maisha yakaendelea[emoji23][emoji23]. Na hiyo siku mother house naye akanikumbusha kulipa maji na umeme nikachoka kabisa.
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bebi mbona unaniua wakati mimi bado nipo hai?
 
Back
Top Bottom