Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Geto la msela
20210918_224350.jpg
 
Mkuu hv ni kamara gani nzuri kukaa yani hakuna matukio ya kukabwa mana nilipo Sasa ni mabibo uku dah vibaka wengi sana uku
Kimara korogwe,king'ongo,saranga,makambini,matangini

Hakuna hizo mambo za kukabwa halafu kumeanza kuwa town fulani hivi

Nimeanza kuishi kimara 1994 Hadi leo so nime shuhudia evolution mbali mbali za kimaendeleo

Way back wakati nahamia kimara ilikuwa pori tu nyumba moja hapa ingine kule
 
Back
Top Bottom