cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah@rikiboy
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah@rikiboy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sanaa Mr, uzidi kufanikiwa zaidi.Ni ndefu kidogo.
Uzi huu umenifanya nipange na nitoke kwa wazazi.
Niliuona uzi huu mwaka juzi mwaka 2020 kipindi cha Corona, nakumbuka nilikuwa broke sana na stress (anxiety disorder) kwa hiyo hata kufanya kazi nyumbani nilikuwa sifanyi. Yaani nilikuwa sina motivation ya kufanya chochote kile.
Siku moja tuliitwa vijana wote. Tuseme familia nzima. Nilisemwa sana mbele za watu na mzee kuwa mimi ni mvivu sifanyi chochote hata chumba changu nashindwa kufagia (which is not true).
Ile kitu ilinichukua sana. Kufokewa mbele ya wadogo zako na kuitwa mchafu sidhani ka ntakuja kusahau na tangu siku ile mission ilikuwa moja tu. Kuondoka nyumbani. Na sikutaka kumshirikisha yeyote. Nilitaka nifanye mwenyewe.
Ilinichukua muda kidogo kujipanga lakini alhamdulilah sasa hivi nipo kwangu. Nina mwezi sasa. Sijawahi kulala chini, nina uhuru wa kutosha na siombi chochote cha mtu kikubwa ni kuzidi kupambana tu maana ukiacha kusalimia sidhan ka ntarudi.
Sina lengo la kumpa presha yeyote na pengine ni mapema sana kusema hivi lakini kijana hasa wa kiume kuna umri ukifika ondoka kwenu. Maana ukikaa nyumbani kwanza utakuwa unawaza hela ndogo ndogo tu za kunnua mashati na suruali. Hutapata mwamko wa, kufanya zaidi.
Yes hakuna ubaya wa kukaa nyumbani haswaa kama kwenu haupewi hiyo presha lakini you never know wanaongelea nini at the back kuwa uko irresponsible n.k na pia kuna umri ukifika kaa peke yako kwanza jitafute.
Ili kuwa inspire wengine sidhani ka ntaposti geto langu humu ila nimeambatanisha na andiko langu la April 2020 la hapa JF ambalo nilisema kabisa kuwa ntaondoka nyumbani. God is Great!
Mkuu Walec nashukuru sana kwa kuanzisha uzi huu. Siku ingine nitakuja hapa kueleza zaidi.
View attachment 2125957
Nakumbuka ndio nimemaliza chuo sina Ramani, home ninapoishi sio kwetu, ni kwa baba yangu mdogo mimi nimefanya kulelewa tu, kwa baba yangu Mzazi mama yangu hataki hata kunisikia kwani mama yangu alifariki nikiwa hata primary school sijaanza, pale home ninapoishi maneno ya kaanza kwamba nakula tu ila sipeleki chochote, mara nashindwa kutafuta hata kazi, Yale maneno yaliponifikia kupitia watu wema moyo uliniuma sana, nilipiga vibarua nikapata kodi ya miezi 6 na pia Kuna jamaa yangu aliniuzia kitanda bila Godoro kwa bei Rahisi, nikatafuta chumba, bahati nzuri baba mwenye nyumba alinipa apartment inayojitegemea ya vyumba viwili na sebure, akanambia chumba cha Pili amehifadhi vitu vyake mimi nilipie chumba kimoja tu, nilimpa kodi ya miezi 6, pale sebureni kilikua na set ya makochi niliikuta, nilianza kulalia pale, baadae baba mwenye nyumba aliniazima Godoro nikinunua langu nimrudishie, nilikaa pale kwa Tabu sana na home nikakata kwenda kula, nilikua Kuna siku napigika nalalia kipande cha Tikiti maji, Mungu akajalia nikapata project ya miaka Minne, Kidogo kidogo maisha yakaanza kubadilika, ikifika mwisho wa mwezi nanunua misosi na mazagazaga kibao napeleka halafu wala siendi kula, nikawa na make hela, nikanunua mashamba, nikafungua Biashara, ya Retail shop, mradi ulivyoisha maisha yakawa hayanipigi chenga nashukuru Riziki napata kupitia mashamba na Biashara yangu, nimepanda machungwa sasa hivi nakula ki ulaini, baba mwenye nyumba aliondoa vitu vyake sasa namiliki Ile apartment yote mwenyewe, ili kulipa fadhira nikamchukua mtoto wa baba yangu mdogo nimekaa nae miaka Minne mpaka anamaliza form four mwaka jana, Nimeoa na nina watoto wa wawili wa kiume na pia nafikiri kwanza ujenzi kwani nimeshanunua kiwanja, kwa kifupi katika maisha usikate tamaa
[emoji849]Nimeanza kukaa geto, ila changamoto, nina piga sanaa nyeto, najikuta natumia cost kubwa kwenye bundles kwa ajir ya kuangia porn
Nimeanza kukaa geto, ila changamoto, nina piga sanaa nyeto, najikuta natumia cost kubwa kwenye bundles kwa ajir ya kuangia porn
Mwamba Ni ya kweli hayo,au unachangamsha group!???Nimeanza kukaa geto, ila changamoto, nina piga sanaa nyeto, najikuta natumia cost kubwa kwenye bundles kwa ajir ya kuangia porn
Mwamba Ni ya kweli hayo,au unachangamsha group!???
Tafuta demu, ukiwana ghetto uko free tu hata kulala nae mpka asubuhi.
Tafuta demu mmoja wa wakati wote yaan msa wote ukimuhutaji unapata huduma yake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukawa unapata utelezi wa bureeeeWe jamaa kuna kitoto kimoja nlikua nakikimbia yan
Kikihisi upo tu hichooo!!!!
Kikawa hadi kinakuja mtaan afu kinabana ukutan nkiingia tu ndani kimoooo[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeanza kukaa geto, ila changamoto, nina piga sanaa nyeto, najikuta natumia cost kubwa kwenye bundles kwa ajir ya kuangia porn
Bed liko poa Sana mkuuView attachment 2144982
Chumba kimoja kama hiki kinatosha kuanzia maisha ya gheto, kitanda/godoro 5x6, sabufa, jiko la gas 15kg, nk
Good start mwamba, ongeza bufa chap, ili ukivusha show ibambe, pia itakufanya usiwe mnyinge sana. Ukiwa alone ghetto. Umeanzia vizuri Sana big up.Thread ilinipa hasira View attachment 2145102
Uko poaa, utaanza bila changamoto kubwa maana umeanzia home. Sisi wengine tumetafutia ghettoWakati nausoma huu uzi nilikuwa home sina chochote ila kazi nafanya (mishemishe) nikasema sio mbaya nikatoka nyumba kubwa nikaenda chumba cha nje nikaanza kuishi kama gheto hapo akili inawaza kulijaza kweli bhana sasa nina kila kinachotakiwa gheto na ni vya kwangu huu mwaka nawekeza kodi na akiba nahama na vitu vyangu.
View attachment 2145200
View attachment 2144982
Chumba kimoja kama hiki kinatosha kuanzia maisha ya gheto, kitanda/godoro 5x6, sabufa, jiko la gas 15kg, nk