Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Ushauri.

Usigharamie ghetto kushindana na kipato chako, hapo sio kwako. Upo kwa muda tu.

Ahsante
Inategemea

Eneo lako la kazi/ biashara lilipo na hapo unapotaka kuishi.

Sehemu nyingine itakulazimu hata kama hutaki.
Mf. Unafanya kazi masaki
Utawezaje kukaa Mbagala? Si utachosha sana mwili?
Au ufanye kazi Tegeta ukae mbande/ mbagala/ goms
 
Soma tena.
 
mapokez muhim kabl ya yote[emoji1]
20220323_171325.jpg
 
Back
Top Bottom