Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

leo geto, mchemsho wa samaki
IMG_20220401_195258.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hamna chief, mfano wali nyama na ndondo wa buku 2500 kwa mgahawanj kwa kupika mwenyewe gharama zitazidi tu.

Babu ukianza na Mchele , plus mafuta, nyama na ndondo, viungo sijui nyanya na wenzake wakina vitunguu nk shilling ngapi mpk hapo ?
Bado hujaja umeme au gesi, plus na muda wako wa kusubiri kuivisha.
Ndo maana nasema ukiwa mwenyewe kama huna fridge la kuhifadhi chakula kingi,kupika gharama ni kubwa zaidi mzee kuliko kula mgahawanj chakula cha aina moja. Labda ugonge tu ugali na dagaa chukuchuku
Mkuu 2500 X 2= 5000 + 1500 ya chai jumla elf 6500 x30 = 195000 ukiwa unajipikia huwez kununua vyakula vya kupika mwenyewe kwa Tsh 195000 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom