Dexta
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 2,096
- 5,211
Haikuwa kazi rahisi but hatimae ninajivunia mji wangu
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wale wenzangu na mimi ambao magheto yetu yapo kama msikitini tunacomment wapi ? nakumbuka kuna siku panya aliingia ndani akawa anakimbia tu kama uwanja wa taifa hajui wapi pakujificha nilimpiga lungu mmoja naona huwezi rudi tena ila hongereni kwa magheto mazuri wakuu
kipind nmeanza kukaa getto kuna siku dingi alikuja kunicheki (nilikuw naumwa) alikuta nalalia mkeka na shuka moja ya kimasai.
nilikaa nae kama masaa manne akaniaga anaenda sokoni wakati anarudi nikasikia mlio wa pkpk kutoka nje namuona anashusha godoro 5x6 alafu nene kichiz akanipa kisha akaaga anarudi nyumbani maana muda wa magari ulikuw umeenda.
haikuchukua ata week nililiuza nikaongezea kwenye biashara nikaendelea kulalia mkeka.
sasa kuna siku alikuja town akaomba aache mizigo yake kwangu aisee ..............
ila haya maisha
Atajulia wapi mkuu kazaliw wakati wa neema [emoji1][emoji1][emoji1]mda huu binti yangu wa 6yrs kaniuliza "Geto ni nini!?"
oya sio poa.. geto la kinyamwezi sana... Hilo Zuria lina ukubwa gani? na lime cover room nzima au hiyo sehem hiyo ndogo?Haikuwa kazi rahisi but hatimae ninajivunia mji wanguView attachment 2208555
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Nimelielewa hilo zulia hapo chini,Haikuwa kazi rahisi but hatimae ninajivunia mji wanguView attachment 2208555
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Hapo kuna zulia mbili, hiyo ndogo imekaa chini ya Showcase, then hiyo ingine ni size ya kati tuoya sio poa.. geto la kinyamwezi sana... Hilo Zuria lina ukubwa gani? na lime cover room nzima au hiyo sehem hiyo ndogo?
Oyeeee...karibu sana!Nimelielewa hilo zulia hapo chini,
Yeaaaah hapa pako km kuwepo.
Ghetto hoyeeeeeeh.
Ahsanteee, nipe location,
Aminia sana johBed liko poa saana big up.
uje na kwanguAhsanteee, nipe location,
Ahsanteee.
Huhuhuhuhujuje na kwangu
20inches?? Mzee jikaze utoke na 32 ama 24+Oy week ijayo nanunua flat inch 20 na tv show case nimemuambia fundi aichonge kwa 100,nimemkatia 45000 kama advance,tv badjet yangu ni 200000 sijui kama nitafanikiwa..niombeeni wadau nisupate majanga hapa katikati
20" kadogo sana.. akomae 3220inches?? Mzee jikaze utoke na 32 ama 24+
Kila lakher mkuu [emoji119][emoji119]Mwezi june naanza kuishi gheto INSHAALlAH
View attachment 2203512
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]kipind nmeanza kukaa getto kuna siku dingi alikuja kunicheki (nilikuw naumwa) alikuta nalalia mkeka na shuka moja ya kimasai.