7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,729
- 7,966
Unaona sasa, we noma mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah wapi niliona bora nikae tuu kwa baba kwani shida ipo wapi...kama kugegeda lodge zipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona sasa, we noma mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah wapi niliona bora nikae tuu kwa baba kwani shida ipo wapi...kama kugegeda lodge zipo
Ningependa sana kuexperience maisha ya gheto yaani godoro na kiflat scree cha kuzugia..Unaona sasa, we noma mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jipange tu.Tatizo ulianza na nyumba kubwa ,hiyo kuanzia ni mziki mnene, anza na single self room contained,yale maeneo unapata ziko nzuri tu utapata na kwa bei rahisi. Hiyo ya kwako mara nyingi ni mtu aliyeoa na ana mtoto mdogo. Kwako wewe kwanza itakutia uvivu kufanya usafi.Ningependa sana kuexperience maisha ya gheto yaani godoro na kiflat scree cha kuzugia..
Ndio hiyo nataka mzee na kasebule kidogoJipange tu.Tatizo ulianza na nyumba kubwa ,hiyo kuanzia ni mziki mnene, anza na single self room contained,yale maeneo unapata ziko nzuri tu utapata na kwa bei rahisi. Hiyo ya kwako mara nyingi ni mtu aliyeoa na ana mtoto mdogo. Kwako wewe kwanza itakutia uvivu kufanya usafi.
Utapata mkuu,usijali jipange na utafute kwa utulivu. Kama mishe zako haziko karibu na mjini nakushauri tafuta nje ya mji kama maeneo ya Mbezi beach ,Tegeta, Boko na Bunju hukosi huko.Ndio hiyo nataka mzee na kasebule kidogo
Ah wapi niliona bora nikae tuu kwa baba kwani shida ipo wapi...kama kugegeda lodge zipo
Eh bwana nipo kwa dingi hapa kama vile yesu alivyo kuwepo kwa baba yake.Hahaha eti Lodge, Wait skia let me get this right kwahiyo Bado unakaa kwa mzee kumbe?
Sasa hizo mbususu Lodge cost si ndio nyingi zaid
Eh bwana nipo kwa dingi hapa kama vile yesu alivyo kuwepo kwa baba yake.
Sii ndio natafuta kagheto na mie nitulie maana kkwa ja nimeshindwa kujenga naanza kifikiria nikiuze tuu
Chumba na sebule ndio natafuta. Iwe karibu na sehemu ya kupata totozo ndio maana nataka maeneo ya ubungo hapo au mwengeusiuze tafuta nyumba panga.. kiwanja acha utakiitaji baadae
Chukua chumba na seble maisha yanasonga
Chumba na sebule ndio natafuta. Iwe karibu na sehemu ya kupata totozo ndio maana nataka maeneo ya ubungo hapo au mwenge
ta migomigo safi kabisa yaani hapo ni csntral mzeya...huko bei zikoje?Aisee mimi natafuta magomeni, nataka sehemu ambayo ina acess rahis ya kwenda popote town na affordable
ta migomigo safi kabisa yaani hapo ni csntral mzeya...huko bei zikoje?
Kipo kwenye coumpound yake peke yake? Maana sie wazee wakugegeda tukiishi na wake za watu tutaishia kuwafumua marindaNlkuwa natafuta cha vyumba viwili kuna jamaa akantafutia akanambia 300-350k nimeamua kuwa mpole tu [emoji32]
Imekaa vyedi sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] Vyovyote vile mkuu,ila sishauri kuendekeza masuala ya madem madem kama mtu bado anajitafuta.
Daaah Sana tuHizi mambo zinatokeaga ndg yangu
Nilipamiss humu ndani, mbna sioni picha za mapazia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni mchokozi, hebu post nione,Si unitag tu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni mchokozi, hebu post nione,
Afu una tabia mbaya, wee mpango wa music ule umekausha mmmh.