Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Ningependa sana kuexperience maisha ya gheto yaani godoro na kiflat scree cha kuzugia..
Jipange tu.Tatizo ulianza na nyumba kubwa ,hiyo kuanzia ni mziki mnene, anza na single self room contained,yale maeneo unapata ziko nzuri tu utapata na kwa bei rahisi. Hiyo ya kwako mara nyingi ni mtu aliyeoa na ana mtoto mdogo. Kwako wewe kwanza itakutia uvivu kufanya usafi.
 
Ndio hiyo nataka mzee na kasebule kidogo
 
Ndio hiyo nataka mzee na kasebule kidogo
Utapata mkuu,usijali jipange na utafute kwa utulivu. Kama mishe zako haziko karibu na mjini nakushauri tafuta nje ya mji kama maeneo ya Mbezi beach ,Tegeta, Boko na Bunju hukosi huko.
 
Hahaha eti Lodge, Wait skia let me get this right kwahiyo Bado unakaa kwa mzee kumbe?

Sasa hizo mbususu Lodge cost si ndio nyingi zaid
Eh bwana nipo kwa dingi hapa kama vile yesu alivyo kuwepo kwa baba yake.

Sii ndio natafuta kagheto na mie nitulie maana kkwa ja nimeshindwa kujenga naanza kifikiria nikiuze tuu
 
Eh bwana nipo kwa dingi hapa kama vile yesu alivyo kuwepo kwa baba yake.

Sii ndio natafuta kagheto na mie nitulie maana kkwa ja nimeshindwa kujenga naanza kifikiria nikiuze tuu

usiuze tafuta nyumba panga.. kiwanja acha utakiitaji baadae

Chukua chumba na seble maisha yanasonga
 
usiuze tafuta nyumba panga.. kiwanja acha utakiitaji baadae

Chukua chumba na seble maisha yanasonga
Chumba na sebule ndio natafuta. Iwe karibu na sehemu ya kupata totozo ndio maana nataka maeneo ya ubungo hapo au mwenge
 
Nlkuwa natafuta cha vyumba viwili kuna jamaa akantafutia akanambia 300-350k nimeamua kuwa mpole tu [emoji32]
Kipo kwenye coumpound yake peke yake? Maana sie wazee wakugegeda tukiishi na wake za watu tutaishia kuwafumua marinda
 
Back
Top Bottom