Daaahh hii ilinikuta kifuku Cha 2022, manzi yangu ilinimisi, alikua anatoka mbeya anaenda songea, akaniuliza Kama apitie makambako akae siku 2 ndo aende, mazee nilichomoa nikamwambia sipo Niko porini job. Akapita, anaporudi nikachomoa Tena, akamind Sana, akajua nilikua na michepuko yangu tu. Kumbe mzee baba mishe haziendi pesa Sina. Sijanyoa nywele Wala ndevu yaani nipo tu sieleweki na mvua zinapiga balaa.
Baaada ya kitambo kupita ndio nikamwambia kua m nilikua sieleweki kabisa niliogopa nisije shindwa kukupa hata nauli ya kurudia kwenu. Ingawa alimind pia, kua hua haitaji hela kwangu, lkn kiutu uzima tu ilibidi nisimsumbue.