meck pro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,353
- 2,924
Bei gan mkuuNimefanikiwa kununua HISENSE mkuu,ingawa bei yake iko juu kidogo,ila iko poa sana. Nitatupia kapicha humu wadau wakiidhinisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei gan mkuuNimefanikiwa kununua HISENSE mkuu,ingawa bei yake iko juu kidogo,ila iko poa sana. Nitatupia kapicha humu wadau wakiidhinisha.
Mitaa ya wapi hiyo mzee maana niko kwenye process ya ku hunt
CONGLATULATION BRO1st time nasoma hii thread nilikua nakaa kwa bro baada ya kumaliza chuo (2018),nilikua intern kwenye moja ya processing plants huko Geita.
2019 mwishoni bro akawa anavuta jiko hivo kwa kunionea huruma akaniachia baadhi ya vitu kama kitanda na sofa moja la watu wawil na tv 24",ila asikwambie mtu unapiga intern hulipwi cha maana zaidi ya nauli na kuambulia kula hapo kazini,mambo yakawa tight kinoma kodi ikaanza kupiga chenga,nikiwaza kurudisha mpira kwa kipa naona jau,nikaamua kupambana hivo kwa msaada wa bro(kumpiga vizinga vya hapa na pale)
Mungu mkubwa 2021 mwanzoni nikawa nimeitiwa kijinafasi cha kujishkuza kwenye moja ya machimbo mikoa ya kusini,hapo ni mimi na kibegi changu cha mgongonj shuka la kimasai la kujifunika,PC yangu na simu nokia kitochi maana hata Samsung niliotoka nayo chuo nilishauza kwa wakati huo kupunguza ukali wa msoto.
Kupitia hio nafasi hapo machimboni niliweza kujuana na watu wengi sana na kupitia hao watu nikafanikiwa kupata kazi (yenye maslahi mazuri kwa upande wangu) na kwa sasa walau nauona mwanga,nipo ghetto napambania kombe taratibu,weekends kama hivi unashinda unacheza games plus movies maana msimu wa football ndo umeishia hivo.
NB:Kukata tamaa na kurudisha mpira kwa kipa haipaswi kua option yako no 1.Jah Bless
View attachment 2279846
Thanks bro...hatujafika tunakoota kufika ila kupitia uzi huu tunapata hasira za kupambana zaidi.CONGLATULATION BRO
Kbsa kaka kila hatua duaThanks bro...hatujafika tunakoota kufika ila kupitia uzi huu tunapata hasira za kupambana zaidi.
hapo kuvuka kwa panton ndio TatizoKigamboni ferry...
Dah
hapo kuvuka kwa panton ndio Tatizo
Hongera1st time nasoma hii thread nilikua nakaa kwa bro baada ya kumaliza chuo (2018),nilikua intern kwenye moja ya processing plants huko Geita.
2019 mwishoni bro akawa anavuta jiko hivo kwa kunionea huruma akaniachia baadhi ya vitu kama kitanda na sofa moja la watu wawil na tv 24",ila asikwambie mtu unapiga intern hulipwi cha maana zaidi ya nauli na kuambulia kula hapo kazini,mambo yakawa tight kinoma kodi ikaanza kupiga chenga,nikiwaza kurudisha mpira kwa kipa naona jau,nikaamua kupambana hivo kwa msaada wa bro(kumpiga vizinga vya hapa na pale)
Mungu mkubwa 2021 mwanzoni nikawa nimeitiwa kijinafasi cha kujishkuza kwenye moja ya machimbo mikoa ya kusini,hapo ni mimi na kibegi changu cha mgongonj shuka la kimasai la kujifunika,PC yangu na simu nokia kitochi maana hata Samsung niliotoka nayo chuo nilishauza kwa wakati huo kupunguza ukali wa msoto.
Hapo machimboni nilikua naishi kibishi sana,unalala sehemu wanaziita matanda (watu wa migodinj wanaelewa),nimeweka turubai na kuzungushia kibanda mianzi,afu godoro la sufi nilinunua Nachingwea town Tsh 15k.Sikuwahi hata siku moja kujikweza na kujionaa labda m ni graduate nna ki degree,sasa katika kufahimana na watu,nikaanza kupata deals za kuchenjua (ndio taaluma yangu) kwenye processing plant kama mkemia.Hela ya kwanza ya maana kupata nikapanga chumba Nachingwea mjini,nikanunua smart ili nirudi mjini maana mambo nowadays yako digitalized,godoro na mkeka na kiredio cha bluetooth life likaanza.
View attachment 2280060
Kupitia hio nafasi hapo machimboni niliweza pia kujuana na watu wengi sana na kupitia hao watu nikafanikiwa kupata kazi (yenye maslahi mazuri kwa upande wangu) na kwa sasa walau nauona mwanga,nipo ghetto napambania kombe taratibu,weekends kama hivi unashinda unacheza games plus movies maana msimu wa football ndo umeishia hivo.
NB:Kukata tamaa na kurudisha mpira kwa kipa haipaswi kua option yako no 1.Jah Bless
View attachment 2279846
Wee mlongo n clip gani huyo?? Hebu nidokezee bas jomoneeehTunafanana hivyo najiachiaga na mito yangu
Kuna clip ya mdau nilisikiliza jana aisee nikakukumbuka ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaah wee, mbna hatareee hii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niienda mbeya,nikarudi nikaelekea tunduru
Nililalaga songea[emoji23]
Yaani niliambiwa boda kutoka stend ya zamani hadi luhuwiko ni sh,15000[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Arena[emoji23][emoji23] uwanja wa mazoezi
Mambo ndo km haya sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado mapambano yanaendelea...View attachment 2271447
Pazia linashawishi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weekend njema Ladies & Gentlemen.View attachment 2271460
Tunataka pazia sie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2271576
Time,music and games[emoji846]
Hama hapa haraka sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wayback 2003Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea.
Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani, mbaya zaidi anasubir kazi, halafu kazi zenyewe haijulikani utapata lini.
Hii inapelekea wana wengi kua na fear ya kuchomoka home. Kiukwel hali ya kukaa hom inakata sana..Mzee unakuta anachomoka anakuachia mikazi flani hivi howcome.
Ukija upande wa MMU ndio mambo yanakua sio mambo, mtoto anataka aje kukusalmia unaona soo kwasababu upo nyumbani, inakata sana hii
Tukija kwenye maisha ya kujituma tu. Sometime unakosa hamasa ya kupambana kwasababu ugali wa bure, unalala bure, kila kitu bure. Hii inakua ngumu kuwaza kwa mapana ili kuanza kukamilisha dream zako..
Pia inakata sana. Pale wanao unakuta wapo na mageto yao. Lakini wewe kwako ni tofauti.
Sasa naomba kila mmoja aseme alichomokaje home na kuanza kukomaa na maisha..Achilia changamoto zake kikubwa hapa ni kusepa kwa maza.
Mimi binafsi gheto nilianza kukaa soon nilivyoingia chuo, nakumbuka nilipata room ya elfu 50 nikaanza nayo kibishi, nikanunua bed ya 150, 5 kwa 6, nikatafuta feni tu ya elf 35..si unajua joto la dar..nikaingia k.koo nikavuta subwoofer ya elf 75 tu, gheto bila mziki sio geto ni choo, kujicheki mfukoni boom likawa lishakata, basi nikaendelea kuishi geto hadi namaliza chuo gheto likawa limesheheni tu.
sasa baada ya kumalza chuo. Ndio nikarudi home ujinga niliofanya ni kurudi home na baadhi ya vitu niliviuza. Kasheshe ndio ipo saa hizi. wakuu home akili inalala, vibe yote hakuna, hapa ndio najichanga nichomoke tena nirud geto nianze kupambana. hope ndani ya huu mwaka nitakua nishasepa hom kwa mara nyingine.
Sasa share kitu basi nawewe.
Nini lilikusukuma usepe home?
Kitu gani kilikupa mzuka wa kuanza kukaa geto?
Vipi ulianza kukaa geto ukiwa na kazi au kibishi tu?
Maisha yalikuaje since day one?
Je ulienjoy uamuzi wako wa kusepa home?
ulianza kununa vitu gani vya msingi na kuanza kuishi geto
Una lipi la kuwaambia wana walioko home hadi leo wakiogopa kukaa geto kisa hawana ajira bado?
Karibuni wakuu.
Aahaa we jamaa una moyo mweupe sana.Wayback 2003
Sina life ,Mimi ndiyo mtoto wa kiume ukizingatia bi mkubwa Hana maisha.
Anaishi chumba kimoja.
Ikabidi ni drop kwa bibi ambaye hakuwa ndugu zaidi ya ubibi wa dar haha SI mnaujua ulee wa bibi bibiii.
Nikawa na chill pale ki bishi bishi, siku nyingine nikienda mara mlango umefungwa mara naambiwa nirudi nilipotoka hahaha walikuwa wanalala saa 1. Na Mimi muda huo ndo nakuwa natafuta Dala za kugeukia home .
[emoji16]Siku 1 kama kawaida, nimerudi kwa bibi wa kubatizwa, nikadandia dirisha na kuanza kumuita dogo anifungulie dogo akaropokaa "ahah jamaa unazingua bhna, hapa hakuna mkeo ulitumwa uzaliwe masikini[emoji57]"
Haha mwamba yale maneno yakanichoma, kesho yake mapema nikaamsha kusiko julikana.
Piga sana kazi za mitaro mixer kubeba vifusi nikawa sichagui kazi. Ndani ya mwezi nikaingia ghetto.[emoji16]
Unyama ukawa mwingi likawa siyo ghetto Bali sehemu ya kuchinjia wanafunzi.
Manzi alipewa mimba,piraa likatimba skani tukasombwa wote..
Ile siku selo niliumia sana!!
Kesi nikawa Sina,maana me niliwapa wadau tu ghetto wawe wanalitumia kuchinjia.
Nikaona hapa msala nikahama mkoa mwengine.
Piga sana saidia fundi. Nikawa fundi njaa.
Jah aka bless nikawa na ghetto langu na Mimi official.
Jina likakuwa nikawa na Kila aina ya material ndani ya ghetto. Hamu ikasogea ya kuwa na chumba nasebu. Nikaona uduwanzi hiyo pesa nikaidundulia nikanunua kiwanja.
Material natolea wapi wakati me fundi maiko bhna.
Ndani ya miezi 4 nikawa nachumba mixer sebu ya kishkaji fundi mwenyewe material nimeokoteza site.
[emoji16]cut story.
Dogo aliyenifukuza kwa bibi yake Ali ni inspire sanaa n Nina mshukuru Hadi kesho namuona kama malaika wangu ambaye alitumwa kuniamsha toka kwenye usingzii wa kubweteka.
Kulipa fadhira dogo nilimsomesha na nikamuingiza kwenye kampuni yangu ya ujenzi.
Hadi leo hajuhi KWANINI namjali na kumpenda Sanaa na hiyo sababu sijawah kumpa zaidi ya wife tu.