Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Robo unamaliza??

Mie ningekuwa naishi mwenyewe aisee nisingekuwa napika[emoji16]

Ninaoishi nao wananivumilia ninavyowalisha[emoji16]
Kwani robo ni nyingi? 😂 inaisha bana

Ukikaa mwenyewe kupika ni kwa nadra sana
 
Haya sasa yametosha , hayo , tufikirieni kununua viwanja vya kujenga nyumba , lets tuambizaneni maeneo gani yanafaaa kununua kiwanja for future use !! Taja na mkoa uliko. Mm niko moshi ,. Maeneo ya mjohoroni ni kuzuri maana ni startegic for now and later
Bei zikoje?
 
Mdogomdogo
Usiku wa kwanza dodoma
 
Attachments

  • 20221231_142141.jpg
    20221231_142141.jpg
    2.4 MB · Views: 46
Wale ni shida mkuu, ila wana utaratibu mzuri sana, maana wao wanawauzia wengine kwa bei rahisi sana ila wao wanauza Kwa bei kubwa ili wateja waende huko kwenye bei ndogo wao wanabaki kama Showroom tu au kuwauzia wadosi
In short n kwamba,,,, hawataki retail customers!!!!
 
Haya sasa yametosha , hayo , tufikirieni kununua viwanja vya kujenga nyumba , lets tuambizaneni maeneo gani yanafaaa kununua kiwanja for future use !! Taja na mkoa uliko. Mm niko moshi ,. Maeneo ya mjohoroni ni kuzuri maana ni startegic for now and later
Kuna jukwaa la ujenzi, humu waache vijana wanaoanza maisha wapate motisha.
 
Haya sasa yametosha , hayo , tufikirieni kununua viwanja vya kujenga nyumba , lets tuambizaneni maeneo gani yanafaaa kununua kiwanja for future use !! Taja na mkoa uliko. Mm niko moshi ,. Maeneo ya mjohoroni ni kuzuri maana ni startegic for now and later
Anzisha Uzi kabisa, naamini utabamba Sana
 
Back
Top Bottom