Moniel
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 274
- 603
Dom maeneo gan hapaMdogomdogo
Usiku wa kwanza dodoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dom maeneo gan hapaMdogomdogo
Usiku wa kwanza dodoma
Unaingia unajipimia heka zako za kutoshaMaana mapori /misitu ipo mingi haina wenyewe
Sorry ni 32 inches mkuu.Mhhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Probably pia kama ni LED
Nilikusudia kusema 32 inches, sorry!Nimeshangaa
Imebidi tu nicheke
Heri hata angesema nchi 40 ndio hiyo 450
Hisense 32 inchesHisense au kampuni gaNi mkuu
Uzi uwe na titleAnzisha Uzi kabisa, naamini utabamba Sana
Pesa yako tu mkuu hamna asiependa luxury life.Mimi napenda gheto liwe la kinyamwezi Sana kitanda kiwe na rangi nyeupe godoro nchi 12 +
Stuli meza kioo kapeti manyoya nk.
32 ni ndogo banaHiyo ni Hisense 32 Inches inanitosha. Huku mikoani ni 450-430.View attachment 2466042
Mkuu hiyo showcase ulichonga Kwa sh ngapi?
Kipindi nanunua hii sikua poa sana kiuchumi, nikasema acha nivute hiki kichupa. Ila kwa sasa nadhani naweza badili na hii nikampa hata dogo yoyote anaeanza life.32 ni ndogo bana
Ni vile tu bills ni nyingii
Tunaanzia hapo
YaahKipindi nanunua hii sikua poa sana kiuchumi, nikasema acha nivute hiki kichupa. Ila kwa sasa nadhani naweza badili na hii nikampa hata dogo yoyote anaeanza life.
Kaka nilijichongea mwenyewe,ilinicost kama 47k tu,ukijumlisha na hiyo bodi ya nyuma (MDF-Board) naziuza mwenyewe) so nikama 90k au 100k.Mkuu hiyo showcase ulichonga Kwa sh ngapi?
Mkuu hivi TCL Wako poa? Je ni bora kuliko Hisense?Yaah
Ukichange na unahamia hata TCL
Nimetoka kuisave hapa kumbe mhusika upo humu huku, unapatikana mkoa gani mkuu??Kaka nilijichongea mwenyewe,ilinicost kama 47k tu,ukijumlisha na hiyo bodi ya nyuma (MDF-Board) naziuza mwenyewe) so nikama 90k au 100k.
Yeah, japokuwa me ni mdau wa Hisense ila nakubali kuwa TCL wako vizuri sanaMkuu hivi TCL Wako poa? Je ni bora kuliko Hisense?
YesMkuu hivi TCL Wako poa? Je ni bora kuliko Hisense?
Ndiyo nawe unaanzisha kijiji chako,Unaingia unajipimia heka zako za kutosha