Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Ukamkatia karisiti ka EFD kabisa 😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukamkatia karisiti ka EFD kabisa 😅😅
Kisa 😄Ww ungekua mwanza...Baada ya kila sabato ningekua nakuja kukutembelea
Kwan hupendi potential friends?Kisa 😄
Napenda wageni 😁Kwan hupendi potential friends?
Napenda wageni 😁
Sijambo, Assalam Aleykum!Hujambo jirani
Hujashika dini vizuri weweNikuambie kitu???
Mke wa pili noooooo.
Duuh pole sana kaka aisee dahWanangu wa gheto! Mimi nimepoteza dira ya maisha tayari
Nimepata ajali ya bajaj.
Bajaj yenyewe ilikuwa ya mkopo ina bima kubwa nimelipa hela miezi sita tu
Sasa sijui kama ikipona ntapewa au mkataba wangu utaishia hapo.
Kaza buti naamini utachomoka kwenye hiyo situationWanangu wa gheto! Mimi nimepoteza dira ya maisha tayari
Nimepata ajali ya bajaj.
Bajaj yenyewe ilikuwa ya mkopo ina bima kubwa nimelipa hela miezi sita tu
Sasa sijui kama ikipona ntapewa au mkataba wangu utaishia hapo.
Sabato njema kakaUkamletea risiti kabisa
Ww ungekua mwanza...Baada ya kila sabato ningekua nakuja kukutembelea
Poa mkuu haina nenoKaza buti naamini utachomoka kwenye hiyo situation
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Ahsante sanaDuuh pole sana kaka aisee dah
[emoji23][emoji23][emoji23]tena kodi ya 20
Bado hujapoteza dira kabisa,kilichotokea ni kitu kidogo tu,usivunjike moyo.Wanangu wa gheto! Mimi nimepoteza dira ya maisha tayari
Nimepata ajali ya bajaj.
Bajaj yenyewe ilikuwa ya mkopo ina bima kubwa nimelipa hela miezi sita tu
Sasa sijui kama ikipona ntapewa au mkataba wangu utaishia hapo.
Sawa mkuu Nashukuru sanaBado hujapoteza dira kabisa,kilichotokea ni kitu kidogo tu,usivunjike moyo.
Bima wanatakutengenezea au watakununulia nyingine ucwaze report ya police umepata?Body ndio imeharibika engine haijaguswa kabisa
Ndio mkuu kila kitu kipo documented, kesho ndio napeleka report zote Bima, na barua ya kusimamishiwa marejesho bank, sjui kama watanielewa.Bima wanatakutengenezea au watakununulia nyingine ucwaze report ya police umepata?
Tafuta kabati lakee.hivi Jamani mnafanya vipi ili mtungi wa gas usichafue ukuta