Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Wanangu wa gheto! Mimi nimepoteza dira ya maisha tayari
Nimepata ajali ya bajaj.
Bajaj yenyewe ilikuwa ya mkopo ina bima kubwa nimelipa hela miezi sita tu

Sasa sijui kama ikipona ntapewa au mkataba wangu utaishia hapo.
 
Bado hujapoteza dira kabisa,kilichotokea ni kitu kidogo tu,usivunjike moyo.
 
Back
Top Bottom