Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Nyumba za kupanga wengi+ wenye nyumba wakiwepo apoapo kuna kero moja siipendi sana ipo hivi.

Kuna sisi uwa siku za kazi zote tunachelewa kurudi maybe saa1 usiku na kuendelea sasa unakuta umejipangia utafua weekend sasa maajab yanajitokeza ata wale wanaoshinda siku za kazi home nawao wanatoa nguo zao kufua ubaya zaidi wanafua minguo kibao kiasi kwamba kamba zote zinajaa inabidi tena mimi Jumatatu niamke saa12 nianze kufua aseee hii kero inanikaba sana koo natamani nimchane maza haus maana nayeye ni mmoja wapo na binti yake,na kuna mke wa mtu mmoja nae anatabia hizi za ajab, Wanashindwa kabisa kujiongeza.
Amka mapema fua.

Una amka hata saa 11.

Mimi wakati mwingine hua nafua jioni au hata usiku.
 
Inatosha sana

Nakadiria tu bei sio exact price lakini ina range humo humo

Kitanda na godoro around 300k
Feni 120k
Jiko la gesi mtungi mdogo 55k
Kitchen cabinet 100k
Tv 300k
Sabufa 100k
Mapazia,mashuka 80k
Pasi 35k
Extension cable 10k
Ndoo za maji
Fridge dogo 150k


Total 1,170,000/=

Inabaki 230,000/= ya misosi

Mchele
Unga
Mafuta ya kupikia etc

Kochi la watu wawili.

Kabati

Meza ndogo.
 
Na mimi nadhani nitaipata kero kama yako maana Ghetto nililopata Liko ndani ya fence sema eneo la kuanika nguo ni finyu yani nguo za mtu mmoja alizovaa week nzima akifua anajaza kamba zote [emoji28]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]sina cha kuongezea zaidi ya kusema karibu matatizoni

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom