Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Huu uzi umenihamasisha nitoke kwa mzee na kuamua kupanga mwaka juzi mwezi wa 12 mimi nilihamia gheto kwa kishindo gheto lilikua na kila kitu ila baada ya miezi 3 wakuda wakaniotea gheto wakasepa na hisense TV
PXL_20221204_192726509.jpg
na pesa vingine vyote ghetoni wameviacha
 
Ngoja nihadithie kidogo kuhusu yanayonikuta halafu mnipe ushauri

Kabla chuo hakijafungwa last year,Nilikuwa nipo hostel ila nilianza kupiga mishe kitaa ili nijikusanye nianzishe maisha nikiwa kwangu coz hostel kunachosha sana na inaweza kukufanya usiwaze nje ya hostel pekeee........kweli nikapata pesa kiasi ila zilikuwa zinatosha kuanza kupanga

Kuna jamaa yangu sana,wa kishua kweli alinitafuta akaniambia nikaishi nae nyumbani kwao coz anaishi yeye pamoja na Bi'Mkubwa wake na Kuna time uwa hali yake haipo Sawa,so anahitaji msaada wangu kwa hilo pekee (Jamaa ana matatzo ya kupoteza kumbukumbu............Nikakaa nikasema OK poa twende nyumbani,jamaa akanitambulisha kwa Maza ake,mwanzoni yule mama alinikubali na akanichukulia mimi kama mwanae wa kumzaa maana chochote atacho mletea jamaa basi na me lazima angeniletea

Hivi majuzi huyu maza kaanza kubadilika ghafla,nikimsalimia anaitikia kama hataki na kwa dharau sana,anajitungia makosa halafu ananibambikizia mie

Leo nimeamka nikamkuta anaongea na simu,alivyoniona akaongeza Saudi na maneno aliyosema ni haya;

"Kuna mtu kaja kuniharibia budget nyumbani kwangu,anakula tu na wala hajui vinetoka wapi

Muda sio mrefu nahama
 
Salamu kutoka geto Tabora kaliua.
Changamoto mama mwenye nyumba ni mlokole kasema nilete pisi moja tu[emoji19][emoji19]
Hiyo mbona imekaa vizuri, Me naamini sio kila mwanamke aingie chumbani kwako ni bora wengine umalizane nao hata gesti chumba chako ni sehem ya baraka yako paheshimu wanawake wengine wamebeba milaana ya ukoo wao watakuletea nuksi tu.
 
Ngoja nihadithie kidogo kuhusu yanayonikuta halafu mnipe ushauri

Kabla chuo hakijafungwa last year,Nilikuwa nipo hostel ila nilianza kupiga mishe kitaa ili nijikusanye nianzishe maisha nikiwa kwangu coz hostel kunachosha sana na inaweza kukufanya usiwaze nje ya hostel pekeee........kweli nikapata pesa kiasi ila zilikuwa zinatosha kuanza kupanga

Kuna jamaa yangu sana,wa kishua kweli alinitafuta akaniambia nikaishi nae nyumbani kwao coz anaishi yeye pamoja na Bi'Mkubwa wake na Kuna time uwa hali yake haipo Sawa,so anahitaji msaada wangu kwa hilo pekee (Jamaa ana matatzo ya kupoteza kumbukumbu............Nikakaa nikasema OK poa twende nyumbani,jamaa akanitambulisha kwa Maza ake,mwanzoni yule mama alinikubali na akanichukulia mimi kama mwanae wa kumzaa maana chochote atacho mletea jamaa basi na me lazima angeniletea

Hivi majuzi huyu maza kaanza kubadilika ghafla,nikimsalimia anaitikia kama hataki na kwa dharau sana,anajitungia makosa halafu ananibambikizia mie

Leo nimeamka nikamkuta anaongea na simu,alivyoniona akaongeza Saudi na maneno aliyosema ni haya;

"Kuna mtu kaja kuniharibia budget nyumbani kwangu,anakula tu na wala hajui vinetoka wapi

Muda sio mrefu nahama
Kaka nawe uji shitukie, USI ondoke kwa ugomvi au chuki.
👉Jipange uhamie kwako, hata Kama chumba Cha 40 au 50 k.
 
Hili neno Ghetto asili yake ni wapi?
Natumia falsafa yangu tu, gheto kwangu ni Kama mgodi- ambao humo ndani una tupa Mambo mengi mno.
Gheto ni kiwanda, hiki Hum tengeneza mkazi wa humo.
👉Kwa kumpa Fursa ambazo Zita mtengeneza kwa style mbalimbali.
👉wamo walevi, wafanyabiashara, wazinzi na hata viongozi.
 
Salamu kutoka geto Tabora kaliua.
Changamoto mama mwenye nyumba ni mlokole kasema nilete pisi moja tu[emoji19][emoji19]
Asa sikia mdogo angu, ukitaka mambo yanyooke ghetto ingiza pisi moja unayoielewa then ikule hiyohiyo halafu plani mishe zako mpaka ufike malengo fulani then ndo uanze uchakaramu wako.
Hii issue kuna time ilinisaidia nilikua babe fulani nikawa naikula hiyohiyo huku napiga mishe zangu mpaka mambo yamekua kua okay kiasi, nina kamradi kadogo, kakiwanja, shamba la kulima. Na ile pisi nikawa nayo. Nimeplani nimuoe kabisa nimeona ananifaa kanivumilia sana.
 
Ngoja nihadithie kidogo kuhusu yanayonikuta halafu mnipe ushauri

Kabla chuo hakijafungwa last year,Nilikuwa nipo hostel ila nilianza kupiga mishe kitaa ili nijikusanye nianzishe maisha nikiwa kwangu coz hostel kunachosha sana na inaweza kukufanya usiwaze nje ya hostel pekeee........kweli nikapata pesa kiasi ila zilikuwa zinatosha kuanza kupanga

Kuna jamaa yangu sana,wa kishua kweli alinitafuta akaniambia nikaishi nae nyumbani kwao coz anaishi yeye pamoja na Bi'Mkubwa wake na Kuna time uwa hali yake haipo Sawa,so anahitaji msaada wangu kwa hilo pekee (Jamaa ana matatzo ya kupoteza kumbukumbu............Nikakaa nikasema OK poa twende nyumbani,jamaa akanitambulisha kwa Maza ake,mwanzoni yule mama alinikubali na akanichukulia mimi kama mwanae wa kumzaa maana chochote atacho mletea jamaa basi na me lazima angeniletea

Hivi majuzi huyu maza kaanza kubadilika ghafla,nikimsalimia anaitikia kama hataki na kwa dharau sana,anajitungia makosa halafu ananibambikizia mie

Leo nimeamka nikamkuta anaongea na simu,alivyoniona akaongeza Saudi na maneno aliyosema ni haya;

"Kuna mtu kaja kuniharibia budget nyumbani kwangu,anakula tu na wala hajui vinetoka wapi

Muda sio mrefu nahama
Sasa mdogo angu hapo huitaji akili nyingi sana kuonesha kua huyo bi mkubwa amekuchoka. Lkn sasa udigombane na mtu mwenye umri sawa na mzazi wako.
Pia usimwambie mwanae (rafiki yako) kuhusu hayo mambo ya bimkubwa wake (usigombanishe familia ya mtu mwingine).

Usichelewe sana fanya ihame hapo, rudi hostel kwanza ikatulize akili then ndo upange. Unapo hama waage kwa wema wala usilete visa, ila urafiki uendelee.
 
Sawa nimekuelewa sana mkuu
 
Hili neno Ghetto asili yake ni wapi?
Ghetto ni ile sehemu ya makazi ya mjini ambapo wanaishi watu waliofulia. Mfano wa makazi ghetto ni Vingunguti, msimbazi, kigogo, tandale, manzese, kuna mji pale maeneo ya shoppers mikocheni ndani ndani ni MUNGU tu ndie anajua wale watu wanaishi vipi aisee na hii mvua sijui usalama wa afya zao upoje.

Ila wahuni wakachukua hilo neno na kulitransfer matumizi kumaanisha maskani yaani sehemu ambapo mtu anaanzia maisha ya hali ya chini. So mtu akawa akipanga chumba huko uswazi anasema nipo geto.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hamna chief, mfano wali nyama na ndondo wa buku 2500 kwa mgahawanj kwa kupika mwenyewe gharama zitazidi tu.

Babu ukianza na Mchele , plus mafuta, nyama na ndondo, viungo sijui nyanya na wenzake wakina vitunguu nk shilling ngapi mpk hapo ?
Bado hujaja umeme au gesi, plus na muda wako wa kusubiri kuivisha.
Ndo maana nasema ukiwa mwenyewe kama huna fridge la kuhifadhi chakula kingi,kupika gharama ni kubwa zaidi mzee kuliko kula mgahawanj chakula cha aina moja. Labda ugonge tu ugali na dagaa chukuchuku
Nunua mchele kilo 30,saga unga wa dona kilo 20,nunua mafuta lita kumi au vile vigalon vya lita 5 viwili, sukari nunua kati ya kilo 10 hadi 15. Weka hapo ndani.

Fanya mpango upate pressure cooker, jiko la gesi la plate mbili na mtu mkubwa wa gesi, halafu friji ile ya milango miwili ya juu na chini chukua za kisasa kama Hisense hizi ndio nzuri. Nunua blender.

Unapika maharage kilo moja kwenye pressure cooker, unaweka kwenye friji kazi yako inakuwa ni kuyachota na robo unaunga unakula mara nne yaani asubuhi mchana jioni na asubuhi tena siku inayofuata breakfast.

Wali ukipika unaweza kula mchana, jioni asubuhi na ukafika tena mchana siku ya pili kama kiporo. Friji litakusaidia sana kutunza vyakula muda mrefu.

Pressure cooker itakusaidia sana kupika vyakula kwa muda mfupi kwa gharama nafuu. Stock hiyo ya chakula ukiitumia vizuri itakuvusha mwezi mzima au miezi hata miwili bila kuhangaika na vyakula.
 
Back
Top Bottom