Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Olewa wewe huo ndio u atakiwa kuwa mpango wako😂😂😂😂Wadau mwaka umeanza,
Mnampango gani??
Waliorudisha mpira kwa kipa mpo[emoji16]
Mie sina mpango.
Duh pole mzeeHuu uzi umenihamasisha nitoke kwa mzee na kuamua kupanga mwaka juzi mwezi wa 12 mimi nilihamia gheto kwa kishindo gheto lilikua na kila kitu ila baada ya miezi 3 wakuda wakaniotea gheto wakasepa na hisense TV View attachment 2866025na pesa vingine vyote ghetoni wameviacha
Hiyo mbona imekaa vizuri, Me naamini sio kila mwanamke aingie chumbani kwako ni bora wengine umalizane nao hata gesti chumba chako ni sehem ya baraka yako paheshimu wanawake wengine wamebeba milaana ya ukoo wao watakuletea nuksi tu.Salamu kutoka geto Tabora kaliua.
Changamoto mama mwenye nyumba ni mlokole kasema nilete pisi moja tu[emoji19][emoji19]
Kaka nawe uji shitukie, USI ondoke kwa ugomvi au chuki.Ngoja nihadithie kidogo kuhusu yanayonikuta halafu mnipe ushauri
Kabla chuo hakijafungwa last year,Nilikuwa nipo hostel ila nilianza kupiga mishe kitaa ili nijikusanye nianzishe maisha nikiwa kwangu coz hostel kunachosha sana na inaweza kukufanya usiwaze nje ya hostel pekeee........kweli nikapata pesa kiasi ila zilikuwa zinatosha kuanza kupanga
Kuna jamaa yangu sana,wa kishua kweli alinitafuta akaniambia nikaishi nae nyumbani kwao coz anaishi yeye pamoja na Bi'Mkubwa wake na Kuna time uwa hali yake haipo Sawa,so anahitaji msaada wangu kwa hilo pekee (Jamaa ana matatzo ya kupoteza kumbukumbu............Nikakaa nikasema OK poa twende nyumbani,jamaa akanitambulisha kwa Maza ake,mwanzoni yule mama alinikubali na akanichukulia mimi kama mwanae wa kumzaa maana chochote atacho mletea jamaa basi na me lazima angeniletea
Hivi majuzi huyu maza kaanza kubadilika ghafla,nikimsalimia anaitikia kama hataki na kwa dharau sana,anajitungia makosa halafu ananibambikizia mie
Leo nimeamka nikamkuta anaongea na simu,alivyoniona akaongeza Saudi na maneno aliyosema ni haya;
"Kuna mtu kaja kuniharibia budget nyumbani kwangu,anakula tu na wala hajui vinetoka wapi
Muda sio mrefu nahama
Hili neno Ghetto asili yake ni wapi?
Ghetto” can be a dehumanizing insult, as in “being ghetto” which usually means behaving in a low-class manner. But other slang terms such as “ghetto fabulous” or “ghetto chic” convey a flashy glamourHili neno Ghetto asili yake ni wapi?
Natumia falsafa yangu tu, gheto kwangu ni Kama mgodi- ambao humo ndani una tupa Mambo mengi mno.Hili neno Ghetto asili yake ni wapi?
Asa sikia mdogo angu, ukitaka mambo yanyooke ghetto ingiza pisi moja unayoielewa then ikule hiyohiyo halafu plani mishe zako mpaka ufike malengo fulani then ndo uanze uchakaramu wako.Salamu kutoka geto Tabora kaliua.
Changamoto mama mwenye nyumba ni mlokole kasema nilete pisi moja tu[emoji19][emoji19]
Sasa mdogo angu hapo huitaji akili nyingi sana kuonesha kua huyo bi mkubwa amekuchoka. Lkn sasa udigombane na mtu mwenye umri sawa na mzazi wako.Ngoja nihadithie kidogo kuhusu yanayonikuta halafu mnipe ushauri
Kabla chuo hakijafungwa last year,Nilikuwa nipo hostel ila nilianza kupiga mishe kitaa ili nijikusanye nianzishe maisha nikiwa kwangu coz hostel kunachosha sana na inaweza kukufanya usiwaze nje ya hostel pekeee........kweli nikapata pesa kiasi ila zilikuwa zinatosha kuanza kupanga
Kuna jamaa yangu sana,wa kishua kweli alinitafuta akaniambia nikaishi nae nyumbani kwao coz anaishi yeye pamoja na Bi'Mkubwa wake na Kuna time uwa hali yake haipo Sawa,so anahitaji msaada wangu kwa hilo pekee (Jamaa ana matatzo ya kupoteza kumbukumbu............Nikakaa nikasema OK poa twende nyumbani,jamaa akanitambulisha kwa Maza ake,mwanzoni yule mama alinikubali na akanichukulia mimi kama mwanae wa kumzaa maana chochote atacho mletea jamaa basi na me lazima angeniletea
Hivi majuzi huyu maza kaanza kubadilika ghafla,nikimsalimia anaitikia kama hataki na kwa dharau sana,anajitungia makosa halafu ananibambikizia mie
Leo nimeamka nikamkuta anaongea na simu,alivyoniona akaongeza Saudi na maneno aliyosema ni haya;
"Kuna mtu kaja kuniharibia budget nyumbani kwangu,anakula tu na wala hajui vinetoka wapi
Muda sio mrefu nahama
Sawa nimekuelewa sana mkuuSasa mdogo angu hapo huitaji akili nyingi sana kuonesha kua huyo bi mkubwa amekuchoka. Lkn sasa udigombane na mtu mwenye umri sawa na mzazi wako.
Pia usimwambie mwanae (rafiki yako) kuhusu hayo mambo ya bimkubwa wake (usigombanishe familia ya mtu mwingine).
Usichelewe sana fanya ihame hapo, rudi hostel kwanza ikatulize akili then ndo upange. Unapo hama waage kwa wema wala usilete visa, ila urafiki uendelee.
Ghetto ni ile sehemu ya makazi ya mjini ambapo wanaishi watu waliofulia. Mfano wa makazi ghetto ni Vingunguti, msimbazi, kigogo, tandale, manzese, kuna mji pale maeneo ya shoppers mikocheni ndani ndani ni MUNGU tu ndie anajua wale watu wanaishi vipi aisee na hii mvua sijui usalama wa afya zao upoje.Hili neno Ghetto asili yake ni wapi?
Nunua mchele kilo 30,saga unga wa dona kilo 20,nunua mafuta lita kumi au vile vigalon vya lita 5 viwili, sukari nunua kati ya kilo 10 hadi 15. Weka hapo ndani.[emoji23][emoji23][emoji23]hamna chief, mfano wali nyama na ndondo wa buku 2500 kwa mgahawanj kwa kupika mwenyewe gharama zitazidi tu.
Babu ukianza na Mchele , plus mafuta, nyama na ndondo, viungo sijui nyanya na wenzake wakina vitunguu nk shilling ngapi mpk hapo ?
Bado hujaja umeme au gesi, plus na muda wako wa kusubiri kuivisha.
Ndo maana nasema ukiwa mwenyewe kama huna fridge la kuhifadhi chakula kingi,kupika gharama ni kubwa zaidi mzee kuliko kula mgahawanj chakula cha aina moja. Labda ugonge tu ugali na dagaa chukuchuku