Ulianzaje kuvuta bangi?

We piga mmea achana na maneno ya wanafiki
 
Yeah ni kweli inabagua lkn sio kubagua hadi kua kichaa kabisa. Ukiona mtu imembagua hadi kudata kabisa ujue kuna kitu wamemchanganyia hapo ndani.
 
So mkuu unanishaurije hapo?
 
Yeah ni kweli inabagua lkn sio kubagua hadi kua kichaa kabisa. Ukiona mtu imembagua hadi kudata kabisa ujue kuna kitu wamemchanganyia hapo ndani.
Nikija kuanza kutumia ntamchukua rafik yangu wa karibu in case mambo yamebadilika anisaidie.
 
Nikija kuanza kutumia ntamchukua rafik yangu wa karibu in case mambo yamebadilika anisaidie.
Hapana kwa wakati huo mambo hayawezi kubadilika ety hadi ukacharuka hapo hapo hapana.
Siku ya kwanza kuvuta unaweza ukaanza kuona ni kama mwili wako umemwagiwa maji, au ukaanza ona mtu wa kiume ana kalio kubwa, au ukaona vitu vingine vya ajabu ukitumia hadi mara tatu unaona vitu vya ajabu ajabu tu basi ww kiasili tu haikutaki.

Mim siku ya kwanza nilivotumia nilipata njaa. Hadi leo hii hata nikitumia nahisi njaa sana.

Kingine cha kukushauri usinunue ambayo tayali wameiroll nunua ukasafishe uroll mwenyewe utajifunza hata online.
 
Nakuja piemu unielekeze bibi harusi mtarajiwa[emoji23]
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nmekimbia na michango ya harusi. Sitaki mchezo ntaolewa mwakani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ulikua unakusanya michango ukiwa uko high na bange nini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mpaka mwaka uishe naomba uwe ushaorewaaaa
 
Ulikua unakusanya michango ukiwa uko high na bange nini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mpaka mwaka uishe naomba uwe ushaorewaaaa
Hapana sikua high kabisa. Ningekua high hyo michango nisingepewa.
Nmekusanya hadi wale waloahidi wametoa mwisho wa siku nmepata mtaji wa kufungua duka la bunduki.
 
Mm naskiaga njaa hata manzi nikimla show inakuwaga kibabe...

Japo saizi najuta nimevuka nipo danger zone ili nipate stimu lazma nipige sublingual ugoro...bangi dry ...na vidone vya hansone choice au k vant
 
Aah me nilijuzia sana mwanzo nilikua na speed kubwa sana sigara pia fresh lkn nliacha kuvuta sigara kabisa Wala sitamani. Na sa hv bangi navuta mara 1 kila baad ya miez mitatu.

Nikizidisha hapo hua natapika sana nasikia vby nikitumia nakaa sawa
 
Hapana sikua high kabisa. Ningekua high hyo michango nisingepewa.
Nmekusanya hadi wale waloahidi wametoa mwisho wa siku nmepata mtaji wa kufungua duka la bunduki.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ngachokaaaa jaman
Nimekugawa kabisa
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Nikija kuanza kutumia ntamchukua rafik yangu wa karibu in case mambo yamebadilika anisaidie.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€..nimecheka Sana ,mkuu achana na hii kitu kama una waswas ivyo..I remember Mara ya kwanza kula kitu niko darasa la saba dah nilipataga hasira nyingi Sana nkawa mkali ..nlimfokea sister Sana skuiyo,alaf nilikula ugali mwingi haijapata tokea
 
Mi mpka naona simanzi kuelezea ila najikosoa kuwa sikuweza kuimiliki Bangi katika akili yangu [emoji22] Najuta nmepata upweke usiokwisha kwa miaka Sasa. Sina umri mkubwa sana ila kidogo umri umeenda.

Toka nmeanza kuvuta nmekuwa mtu wa unyonge, Mpweke, Ninaekata tamaa mara kadhaa na Kila wakati kujiona sistahili pengine kuendelea kuishi.

Napatwa na hofu kubwa kiasi kuona kama kuna another universe iko round katika akili yangu na kupatwa na makelele ya kuzongwa kama msaliti wa Jamii yangu katika ulimwengu huo.

Kifupi nilikua najiona mi sio wa hii sayari yenu mnayoiita Dunia na mara kadhaa nilijaribu kujitafuta Uhalisia wangu wa kuwa nimetokea wapi na hapa nipo kwa sababu zipi.

Hii Hali ikanifanya niwe kama nmepagawa home Wazazi wakaanza harakati za kunitibia mara kwa waganga na watu wasaikoloji lakini wapii. Mpka hapo hakuna mtu alitambua kua natumia Marijuana.

Masomo hayakwenda vyema Form 4 ikatoka na division 3 nikawa sina Tena shauku ya kusema, Mzee akashauri nirudi school lakini wapii.

Akili ikaanza kurudi Tena baada ya kumpoteza mama yangu Mzazi Mwaka 2019.

Siku nikipata wasaa mzuri nitaandaa Uzi maalumu kwa ajili ya kuhamasisha vijana waache Bangi. Maana nina mengi mno nmepitia kwa kujitakia.

Itaedelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ