Ulianzaje kuvuta bangi?

Ulianzaje kuvuta bangi?

Ni kweli kwamba marijuana inabagua watu. Kuna mwingine inaweza kumfanya kichaa? Maana natamani sana kuja kutumia ila hofu yangu ni kuwa pengine ikanikataa nikawa kichaa au kufanya mambo ya ajabu mtaani. Ninawaza sana. Ila kweli toka moyoni naipenda sana marijuana.
We piga mmea achana na maneno ya wanafiki
 
Ni kweli kwamba marijuana inabagua watu. Kuna mwingine inaweza kumfanya kichaa? Maana natamani sana kuja kutumia ila hofu yangu ni kuwa pengine ikanikataa nikawa kichaa au kufanya mambo ya ajabu mtaani. Ninawaza sana. Ila kweli toka moyoni naipenda sana marijuana.
Yeah ni kweli inabagua lkn sio kubagua hadi kua kichaa kabisa. Ukiona mtu imembagua hadi kudata kabisa ujue kuna kitu wamemchanganyia hapo ndani.
 
Natokea mitaa flani katikati ya jiji, kipindi nakuwa kampani yangu wote walikuwa wanakula weeds.
Sehemu kubwa ya rafiki zangu hawa hawakuweza kuendelea na shule wengine wamekuwa vichaa kabisa. In fact bangi imewatenda vibaya sana rafiki zangu hawa wa utotoni!
So mkuu unanishaurije hapo?
 
Yeah ni kweli inabagua lkn sio kubagua hadi kua kichaa kabisa. Ukiona mtu imembagua hadi kudata kabisa ujue kuna kitu wamemchanganyia hapo ndani.
Nikija kuanza kutumia ntamchukua rafik yangu wa karibu in case mambo yamebadilika anisaidie.
 
Nikija kuanza kutumia ntamchukua rafik yangu wa karibu in case mambo yamebadilika anisaidie.
Hapana kwa wakati huo mambo hayawezi kubadilika ety hadi ukacharuka hapo hapo hapana.
Siku ya kwanza kuvuta unaweza ukaanza kuona ni kama mwili wako umemwagiwa maji, au ukaanza ona mtu wa kiume ana kalio kubwa, au ukaona vitu vingine vya ajabu ukitumia hadi mara tatu unaona vitu vya ajabu ajabu tu basi ww kiasili tu haikutaki.

Mim siku ya kwanza nilivotumia nilipata njaa. Hadi leo hii hata nikitumia nahisi njaa sana.

Kingine cha kukushauri usinunue ambayo tayali wameiroll nunua ukasafishe uroll mwenyewe utajifunza hata online.
 
Nakuja piemu unielekeze bibi harusi mtarajiwa[emoji23]
 
😂😂😂Nmekimbia na michango ya harusi. Sitaki mchezo ntaolewa mwakani 🤣🤣
Ulikua unakusanya michango ukiwa uko high na bange nini😂😂😂mpaka mwaka uishe naomba uwe ushaorewaaaa
 
Hapana kwa wakati huo mambo hayawezi kubadilika ety hadi ukacharuka hapo hapo hapana.
Siku ya kwanza kuvuta unaweza ukaanza kuona ni kama mwili wako umemwagiwa maji, au ukaanza ona mtu wa kiume ana kalio kubwa, au ukaona vitu vingine vya ajabu ukitumia hadi mara tatu unaona vitu vya ajabu ajabu tu basi ww kiasili tu haikutaki.

Mim siku ya kwanza nilivotumia nilipata njaa. Hadi leo hii hata nikitumia nahisi njaa sana.

Kingine cha kukushauri usinunue ambayo tayali wameiroll nunua ukasafishe uroll mwenyewe utajifunza hata online.
Mm naskiaga njaa hata manzi nikimla show inakuwaga kibabe...

Japo saizi najuta nimevuka nipo danger zone ili nipate stimu lazma nipige sublingual ugoro...bangi dry ...na vidone vya hansone choice au k vant
 
Aah me nilijuzia sana mwanzo nilikua na speed kubwa sana sigara pia fresh lkn nliacha kuvuta sigara kabisa Wala sitamani. Na sa hv bangi navuta mara 1 kila baad ya miez mitatu.

Nikizidisha hapo hua natapika sana nasikia vby nikitumia nakaa sawa
 
Hapana sikua high kabisa. Ningekua high hyo michango nisingepewa.
Nmekusanya hadi wale waloahidi wametoa mwisho wa siku nmepata mtaji wa kufungua duka la bunduki.
😂😂😂Ngachokaaaa jaman
Nimekugawa kabisa
 
I might be rough around the edges.. But I'm blessed
Dawa.gif
 
😀😀😀😀
Nikija kuanza kutumia ntamchukua rafik yangu wa karibu in case mambo yamebadilika anisaidie.
😀😀😀..nimecheka Sana ,mkuu achana na hii kitu kama una waswas ivyo..I remember Mara ya kwanza kula kitu niko darasa la saba dah nilipataga hasira nyingi Sana nkawa mkali ..nlimfokea sister Sana skuiyo,alaf nilikula ugali mwingi haijapata tokea
 
Mie nilianza rasmi kuvuta bange miaka ya 2001.

Iko hivi:
Baada ya kufeli darasa la saba mwaka 1998 (sababu sikuwa na akili darasani) kipindi hicho mzee akamind sana ikabidi nisepe zangu mikoani kusaka mishe.

Nimepiga zangu mishe mishe za town miaka kadhaa ndo nikakutana na jamaa mmoja alijulikana kwa jina la Dura. Alikuwaga mpigaji flani wa hizi mishe mishe za mjini ikiwemo wizi wa mafuta ya transformers na vyuma chakavu.

Huyo jamaa ndo alinishawishi nikajiunga na group lao tukaanza rasmi wizi wa mafuta ya transformers ambayo kwa kipindi hicho yalikuwa yanalipa sana na tulipata hela sana kipindi hicho, japo kazi ilikuwaga ngumu na ya hatari sana kiasi kwamba nilijikuta naanza kuvuta bangi na hao masela wangu.

Bange ilituongezea ujasiri na umakini kwenye mission zetu zote na kiasi flani tulifanikiwa kupata hela na kuanza kumiliki mageto ya maana (japo tulikuwa tumepanga).

Ila ndo hivyo hakuna marefu yasiyo na ncha, miaka kadhaa mbele likatokea tukio baya tukiwa kwenye transformer flani; kuna makosa yakatokea ikaripuka wenzetu watatu walikufa hapo hapo na tuliopona tulijeruhiwa vibaya sana kiasi kwamba ilichukua muda kuwa sawa na ndo ikawa mwisho wangu wa hizo mishe.

Ingawaje sasa nishakuwa mtu mzima ,ninamiliki biashara kubwa ya majeneza ndani na nje ya mkoa lakini huwa navuta bange mara moja moja japo kwa siri sana, maana mwonekano wangu haufanani kabisa (ni bonge la mtu kiasi kwamba wasiofahamu biashara yangu huwa wanajua ni boss flani kwenye kampuni) [emoji1787].

Je, wewe ulianzaje kuvuta huu mmea?
Mi mpka naona simanzi kuelezea ila najikosoa kuwa sikuweza kuimiliki Bangi katika akili yangu [emoji22] Najuta nmepata upweke usiokwisha kwa miaka Sasa. Sina umri mkubwa sana ila kidogo umri umeenda.

Toka nmeanza kuvuta nmekuwa mtu wa unyonge, Mpweke, Ninaekata tamaa mara kadhaa na Kila wakati kujiona sistahili pengine kuendelea kuishi.

Napatwa na hofu kubwa kiasi kuona kama kuna another universe iko round katika akili yangu na kupatwa na makelele ya kuzongwa kama msaliti wa Jamii yangu katika ulimwengu huo.

Kifupi nilikua najiona mi sio wa hii sayari yenu mnayoiita Dunia na mara kadhaa nilijaribu kujitafuta Uhalisia wangu wa kuwa nimetokea wapi na hapa nipo kwa sababu zipi.

Hii Hali ikanifanya niwe kama nmepagawa home Wazazi wakaanza harakati za kunitibia mara kwa waganga na watu wasaikoloji lakini wapii. Mpka hapo hakuna mtu alitambua kua natumia Marijuana.

Masomo hayakwenda vyema Form 4 ikatoka na division 3 nikawa sina Tena shauku ya kusema, Mzee akashauri nirudi school lakini wapii.

Akili ikaanza kurudi Tena baada ya kumpoteza mama yangu Mzazi Mwaka 2019.

Siku nikipata wasaa mzuri nitaandaa Uzi maalumu kwa ajili ya kuhamasisha vijana waache Bangi. Maana nina mengi mno nmepitia kwa kujitakia.

Itaedelea...
 
Back
Top Bottom