Ulianzaje kuvuta bangi?

Ulianzaje kuvuta bangi?

mara ya kwanza nlivuta nikiwa 4m3 shuleni ikanipeleka stuff kumwambia mkuu wa shule aongeze ratio ya ugali
 
Ilikua bangi mbichi nikaweka juu ya sinia nikaikausha kwenye moto kama nakaanga karanga ilivyokauka nikachukua rizla nikanyonga vizuri nikairipua ile nimepiga moshi tatu nikaskia kichwani kama kuna mtu anapiga azana.

Nikaanza kukimbia niende nyumbani kuangalia nyuma naona nguzo za umeme zinanikimbiza
bado unapiga???
 
Kush taam ukiwa unasikiliza mziki mwenyew mageto af ka AC au kafeni kanapuliza af pemben una vi bites unatafuna au unachek movie dah kush taam nyie sema sa hiv situmii nilikua nikivuta nakua nina dharau hata simu naweka flight mode au hata mtu akipiga sipokei namtafuta asubuh stimu zikiisha,,nilikua napenda kuvuta usiku mda wa kulala
Kwa nini uliacha?
 
Mi nilitumia kipindi nipo chuo nikaanza kuona kama PC nilioipakata miguuni ipo mbali inasogea mbele,

Nikaona haya mambo yana wenyewe sikuludia tena.
 
Nilipoharibu kazi iliyokuwa nalipwa hela nyingi.....nilivurugwa kuliko kawaida kilevi nisichotumia ilibaki unga tu
 
Bangi inanifanya ni meditate
Inadanganya bana, kuna sehemu kuna bata walianza kulia aaah...haaa, ile style yao ya kulia mi nikajua watu wanagogana, kidogo tu niwaambie haah ndio mida yenu eeh.

Hii ilikuwa stress, nikaenda kumcheki mwanangu anipe ushauri nichukue mkopo, akanipa skunk na safari larger kadhaa wakati tukijadili cha kufanya.
 
Nilikua na mwanangu chata tukichana mistari kwenye bustani ndo nikamshtua anigei nidukue na mm walahu kdg, kilichonipata siatakaanisahau
 
Back
Top Bottom