Ulianzaje kuvuta bangi?

Ulianzaje kuvuta bangi?

Asikuambie mtu stimu kubwa ya ganja Ni kucheka aisee.kitu kidogo unaeza cheka mpka machozi ..nakumbuka tulipiga skanka afu jamaa mmoja akapiga story ya uongo.aisee tulicheka kuanzia saa 3 usiku mpka saa 7 usiku .yaan tunacheka afu tunakaa kimya hata dk 10 afu anaanzisha .mmoja kucheka tena[emoji23] ...kesho asubuhi tukafukuzwa na faza house na Kodi yetu akatupa nusu .tukaanza mlaumu aliekua anatuchekesha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mie niliwahi kuvutaaa mara 1 hivi, wakat nipo 4m 3, ilikua likizo, nilikua na shost angu, sasa mchumba wake alikua mvuta bangee, siku hyo tupoo wotee mie, shost na mchumba ake,

Ndo akatuambia tuvutee kidg, aiiiiiiiih tulivutaaa ina kaharufu fulaan ka kushawishi, acha tuvutee, baadae tukanywa na ZED,
Usingizi ulikuja wa ajabuuu hata sikuelewaaa, ilikua saa 7 mchana nimekuja kustuka saa 5 usikuu, shost kalala fofofo, mchumba ake hayupo,

Namuamshaa shost kalala hatak kuamka, mie nkatoka zangu, kurud home, huku nna wenge kichwan, kufika homee niliburuzwaaa fimbooo, sema waligundua nimelewaa, hawakujua na bange nilivuta.

Tangu siku ilee sijawahi tenaa, japo mshua ni mlimaji mkuu wa bangee na mie naijuaa tangu kuipanda had kuivunaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haikupigwa threesome hapo?[emoji36][emoji36]
 
Asikuambie mtu stimu kubwa ya ganja Ni kucheka aisee.kitu kidogo unaeza cheka mpka machozi ..nakumbuka tulipiga skanka afu jamaa mmoja akapiga story ya uongo.aisee tulicheka kuanzia saa 3 usiku mpka saa 7 usiku .yaan tunacheka afu tunakaa kimya hata dk 10 afu anaanzisha .mmoja kucheka tena[emoji23] ...kesho asubuhi tukafukuzwa na faza house na Kodi yetu akatupa nusu .tukaanza mlaumu aliekua anatuchekesha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mi nilifanya kutest kama utafiti sijawahi vuta maishani, mi niliikula (edible) af nikatoka nikaenda gonga supu ya kuku ili niisharabu kikamilifu.

Bhana wee nilipigwa high ya kama masaaa nane hivi. Imagine.

Nilikuwa nasoma kitabu nishasahau kama nimekula bhange nikashangaa nafurahi tu[emoji56]. Bhana wee nilikula matunda yote nilokuwa nayo ndani nikanywa maji eti kuiflush mwilini lakini wapi.

Ila mmea ulinifanya kujiuliza swali moja kwamba hivi kuna maana gani tunakula, tunaenda tunakunya af tunakula tena af tunakunya tena?! Ni ujinga tu. Lakini oia tunaenda kufanya kazi tunaamka tunaenda tena tunarudi tunalala tunaamka tena cycle za kijinga tu.

Af kuna ile unapoteza kumbukumbu ya kitu unakifanya hapohapo imagine. Unachukua glasi unakunywa maji halafu unasahau kama umekunywa funda zilizopita unashangaa glass imeisha unaanza kujiuliza; ivi ni kweli nimekunywa maji au nilisahau kumimina nikanyanyua glass tupu!??[emoji848]

The best thing ni kwamba muda ulipungua kasi mnoo, slow time dilation! Yaan kile kiswitch cha heater kujizima nilikiskia in slo mo; yaan 'ktaaaa' nikafraahi kichizi.

Mambo ni mengi tu. Ila those 6-8 hours were rhe experience of a lifetime asee, sijawahi kurudia hadi leo[emoji28][emoji28]. Na situmii kilevi chochote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni story ndefu kidogo nitaelezea siku ingine ila kifupi naipenda sana hii biashara maana kwa kiasi flani imesaidia sana kubadiri maisha yangu!
Nimeweza kujenga, kusomesha watoto na pia nimenunua kagari(kama kale ka mr Bean)
[emoji23][emoji23]Tunasubir hyo story mwamba hyu hpa
 
Mimi bangi situmii niliwahi kujaribu miaka mingi sana nikiwa secondary... But kwasasa Am in love na wanawake flani hivi warembo halafu wanavuta ganja, aisee huwa nawaelewa sana... Hata kuchepuka nao ni raha halafu wengi wao wana akili sana...
 
me pia nawakubali sana madem wanao kula kitu
 
marijuana haijawahi kumuacha mtu salama. 99% uliyoyaandka yamenipt baada ya kuitumia now najut imenihribia formation ya maish yng but i wish to know how iong it take kuish kichwan
 
Mi nilifanya kutest kama utafiti sijawahi vuta maishani, mi niliikula (edible) af nikatoka nikaenda gonga supu ya kuku ili niisharabu kikamilifu.

Bhana wee nilipigwa high ya kama masaaa nane hivi. Imagine.

Nilikuwa nasoma kitabu nishasahau kama nimekula bhange nikashangaa nafurahi tu😇. Bhana wee nilikula matunda yote nilokuwa nayo ndani nikanywa maji eti kuiflush mwilini lakini wapi.

Ila mmea ulinifanya kujiuliza swali moja kwamba hivi kuna maana gani tunakula, tunaenda tunakunya af tunakula tena af tunakunya tena?! Ni ujinga tu. Lakini oia tunaenda kufanya kazi tunaamka tunaenda tena tunarudi tunalala tunaamka tena cycle za kijinga tu.

Af kuna ile unapoteza kumbukumbu ya kitu unakifanya hapohapo imagine. Unachukua glasi unakunywa maji halafu unasahau kama umekunywa funda zilizopita unashangaa glass imeisha unaanza kujiuliza; ivi ni kweli nimekunywa maji au nilisahau kumimina nikanyanyua glass tupu!??🤔

The best thing ni kwamba muda ulipungua kasi mnoo, slow time dilation! Yaan kile kiswitch cha heater kujizima nilikiskia in slo mo; yaan 'ktaaaa' nikafraahi kichizi.

Mambo ni mengi tu. Ila those 6-8 hours were rhe experience of a lifetime asee, sijawahi kurudia hadi leo😅😅. Na situmii kilevi chochote.
hii story nzuri sana 😄😄
 
Nilipata demu anaivuta
Mzuri kweli sijui nani alikua anamvutisha
Sasa yeye alihisi mi navutabkisa nilikua na zile shisha disposable
Kumbe mimi zile nazitumia kuficha unyonge nikienda club maana sio mnywaaji kiviile ni shisha tu

Ah tupo room tunataka kuchochea baiskeli akasema stopu zeazea😁 akatoa mzigo 😁😁

Nilitoa macho laiki yule jamaa mweusi alivomuona prideta kwenye movie kwa mara ya kwanza akasema nilijua mtumiaji wewe nikasema no nazionaga tu sina muda
Mtoto akapiga pafu zake pale mi nabinyabinya matikiti akasema jaribu kidogo😁😁😁

Saa 6 mchana kesho yake nikaamka chumbani kwangu uchi na jana nakumbuka navuta nimevaa kila kitu hadi kobasi😁😁😁
Mrembo namkuta sebleni kuniona tu akacheka kwanza akasema usivute tena ww 😁😂😂

Namm mpaka leo nilimsikiliza sivuti tena😂
 
Back
Top Bottom