Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Haya niambie, ulicho taka kuni ambia🤗Nimesoma comment moja nimeanza kucheka😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya niambie, ulicho taka kuni ambia🤗Nimesoma comment moja nimeanza kucheka😁😁😁
Njoo🏃🏽♀️Haya niambie, ulicho taka kuni ambia🤗
Wee Leo itakuwa ume Shiba Sana🤔😆🤣.Njoo🏃🏽♀️
Yaani unavuta bangi ili ukaibe mafuta ya transformer? Sasa nikupe mchongo: changanya bangi na mavi kavu ya nguruwe halafu piga pafu hiziii sita mbona utaenda kuibeba benki kuu na kuihamishia kwako. Yaani wewe utakuwa ni mwendo wa kuchomoa mihela tu mara leo euro, kesho dolari nk.Mie nilianza rasmi kuvuta bange miaka ya 2001.
Iko hivi:
Baada ya kufeli darasa la saba mwaka 1998 (sababu sikuwa na akili darasani) kipindi hicho mzee akamind sana ikabidi nisepe zangu mikoani kusaka mishe.
Nimepiga zangu mishe mishe za town miaka kadhaa ndo nikakutana na jamaa mmoja alijulikana kwa jina la Dura. Alikuwaga mpigaji flani wa hizi mishe mishe za mjini ikiwemo wizi wa mafuta ya transformers na vyuma chakavu.
Huyo jamaa ndo alinishawishi nikajiunga na group lao tukaanza rasmi wizi wa mafuta ya transformers ambayo kwa kipindi hicho yalikuwa yanalipa sana na tulipata hela sana kipindi hicho, japo kazi ilikuwaga ngumu na ya hatari sana kiasi kwamba nilijikuta naanza kuvuta bangi na hao masela wangu.
Bange ilituongezea ujasiri na umakini kwenye mission zetu zote na kiasi flani tulifanikiwa kupata hela na kuanza kumiliki mageto ya maana (japo tulikuwa tumepanga).
Ila ndo hivyo hakuna marefu yasiyo na ncha, miaka kadhaa mbele likatokea tukio baya tukiwa kwenye transformer flani; kuna makosa yakatokea ikaripuka wenzetu watatu walikufa hapo hapo na tuliopona tulijeruhiwa vibaya sana kiasi kwamba ilichukua muda kuwa sawa na ndo ikawa mwisho wangu wa hizo mishe.
Ingawaje sasa nishakuwa mtu mzima ,ninamiliki biashara kubwa ya majeneza ndani na nje ya mkoa lakini huwa navuta bange mara moja moja japo kwa siri sana, maana mwonekano wangu haufanani kabisa (ni bonge la mtu kiasi kwamba wasiofahamu biashara yangu huwa wanajua ni boss flani kwenye kampuni) [emoji1787].
Je, wewe ulianzaje kuvuta huu mmea?
Kwa mara ya Kwanza navuta mmea wa Baraka ilikuwa 2007.Mie nilianza rasmi kuvuta bange miaka ya 2001.

Bado ya upinde tuu 😂😂😂😂Ulianzaje kutafuta maisha?
Ulianzaje kukaa ghetto?
Ulianzaje kujenga nyumba yako ya kwanza?
Mara paaap
Ulianzaje kujichua ( Punyeto) ?
Ulianzaje kuvuta bangi ?
Ngoja tuendelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilipata demu anaivuta
Mzuri kweli sijui nani alikua anamvutisha
Sasa yeye alihisi mi navutabkisa nilikua na zile shisha disposable
Kumbe mimi zile nazitumia kuficha unyonge nikienda club maana sio mnywaaji kiviile ni shisha tu
Ah tupo room tunataka kuchochea baiskeli akasema stopu zeazea[emoji16] akatoa mzigo [emoji16][emoji16]
Nilitoa macho laiki yule jamaa mweusi alivomuona prideta kwenye movie kwa mara ya kwanza akasema nilijua mtumiaji wewe nikasema no nazionaga tu sina muda
Mtoto akapiga pafu zake pale mi nabinyabinya matikiti akasema jaribu kidogo[emoji16][emoji16][emoji16]
Saa 6 mchana kesho yake nikaamka chumbani kwangu uchi na jana nakumbuka navuta nimevaa kila kitu hadi kobasi[emoji16][emoji16][emoji16]
Mrembo namkuta sebleni kuniona tu akacheka kwanza akasema usivute tena ww [emoji16][emoji23][emoji23]
Namm mpaka leo nilimsikiliza sivuti tena[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahBado ya upinde tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee haupitwi na kitu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Wee jamaa muongo sana.Ilikua bangi mbichi nikaweka juu ya sinia nikaikausha kwenye moto kama nakaanga karanga ilivyokauka nikachukua rizla nikanyonga vizuri nikairipua ile nimepiga moshi tatu nikaskia kichwani kama kuna mtu anapiga azana.
Nikaanza kukimbia niende nyumbani kuangalia nyuma naona nguzo za umeme zinanikimbiza
[emoji23][emoji23][emoji23]Wee haupitwi na kitu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Da we jamaa bwana.Afu ganja inapenda ule vizur 😋..maaana inatia njaa hatar ..Kuna siku kabla cjatokaga home nilivutishwa bhn nkarudi home nyt wote wamelala c nkafta msosi kwenye friji ili nikapashe nile 😋nkasema nionje kidogo ili nijue napasha kingi au kidogo ...aisee nilijikuta nakula msosi wote kwenye fridge...asubui naskia bimkubwa anamtafuta hayawani aliekula chakula chote. Na kuacha chombo kwenye fridge
Kweliii mzee, nimesoma hii comment nimejikuta nacheka nusu saa nzima.Asikuambie mtu stimu kubwa ya ganja Ni kucheka aisee.kitu kidogo unaeza cheka mpka machozi ..nakumbuka tulipiga skanka afu jamaa mmoja akapiga story ya uongo.aisee tulicheka kuanzia saa 3 usiku mpka saa 7 usiku .yaan tunacheka afu tunakaa kimya hata dk 10 afu anaanzisha .mmoja kucheka tena😂 ...kesho asubuhi tukafukuzwa na faza house na Kodi yetu akatupa nusu .tukaanza mlaumu aliekua anatuchekesha
Hii effect ipo sana, hata marasta wanaisema kwa mrengo huu. Sa sijui wanaochanganyikiwa inakuwaje?Sasa nikawa nakula kitu kinoma asee.
Stimu zinakuja za kujiuliza maswali magumu sana kuhusu hii DUNIA kuhusu NGUVU KUU YA HUU ULIMWENGU (MUNGU)
maswali kuhusu kufanya kazi Kwa mtu na kufanya kazi mwenyewe faida na hasara yaani Ni balaa tu. Nachambua faida na hasara baada ya muda napata majibu alafu naanza kutabasamu mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]