Ulianzaje kuvuta bangi?

mara ya kwanza nlivuta nikiwa 4m3 shuleni ikanipeleka stuff kumwambia mkuu wa shule aongeze ratio ya ugali
 
bado unapiga???
 
Kwa nini uliacha?
 
Mi nilitumia kipindi nipo chuo nikaanza kuona kama PC nilioipakata miguuni ipo mbali inasogea mbele,

Nikaona haya mambo yana wenyewe sikuludia tena.
 
Nilipoharibu kazi iliyokuwa nalipwa hela nyingi.....nilivurugwa kuliko kawaida kilevi nisichotumia ilibaki unga tu
 
Bangi inanifanya ni meditate
Inadanganya bana, kuna sehemu kuna bata walianza kulia aaah...haaa, ile style yao ya kulia mi nikajua watu wanagogana, kidogo tu niwaambie haah ndio mida yenu eeh.

Hii ilikuwa stress, nikaenda kumcheki mwanangu anipe ushauri nichukue mkopo, akanipa skunk na safari larger kadhaa wakati tukijadili cha kufanya.
 
Nilikua na mwanangu chata tukichana mistari kwenye bustani ndo nikamshtua anigei nidukue na mm walahu kdg, kilichonipata siatakaanisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…