Jan-uary
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 984
- 1,058
Binafsi sijawahi kubambikwa mimba wala mtoto, ila nimewahi kuhudumia mimba hewa! Nilikuwa nampenda sana naye alikuwa anajua nampenda, siku ya siku akaniambia hazioni siku zake, tulipoenda kupima ikaonekana kweli ana mimba.
Siku hiyo nilikuwa na furaha isiyo kifani, kuanzia hapo nikaanza kumhudumia kama mke wangu. Mara kinatakiwa hiki, mara kile, nikaja kushtuka baada ya miezi mitatu na nusu ukawa ndiyo mwisho wa mahusiano yetu baada ya kumpa kipondo kitakatifu.
Kinachoniuma mpaka kesho ni zile gharama za hospital/ clinic, maana alikuwa akiniambia mimba inatishia kutoka kwahiyo anatakiwa kuhudhuria clinic kila wiki.
Wewe je, ulibambikwa nini na ulichukua hatua gani baada ya kugundua umefanywa bwege?