Chakula Kibaya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 689
- 1,562
Acha kabisa mkuu aliniambia Hadi nimpe jina mtoto nikafanya hivyoo kumbe kudadeki Sina changu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa mkuu aliniambia Hadi nimpe jina mtoto nikafanya hivyoo kumbe kudadeki Sina changu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787]
Unataka nikutajie jina? Wacha ubishi kuna watu tunawafahamu Wana maambukizi ya HIV na wameoana na wasiokuwa na maambukizi baada ya kufanya yao na mtu wa maabara.Mpimaji gani akubali ujinga huo... Au story ni chai.. Au kweli alikuwa na mimba ikatoka..
Jaman hii dunia.....sikio tu kwa watu,ila usishuhudie...Unataka nikutajie jina? Wacha ubishi kuna watu tunawafahamu Wana maambukizi ya HIV na wameoana na wasiokuwa na maambukizi baada ya kufanya yao na mtu wa maabara.
Ni 5 %hyo kubwa hvyoInasemekana 10% ya kina Baba wanalea watoto sio wao!
Manaume majinga sana!! mtoto wa kiume ndo ana madhara lkn wa kike weye beba tu!! utamkula na/zalisha huko mbele ya safari mamake atajua sasa! akimbie au akae!! ningekuwa mie lazima nikatafute nikakule!
vitoto vya kike havikawii kukomaa!! nakala weeee!! mapaka kieleweke kanazaa vizuri tu! asinifanyie ivo na kuniroga haniwezi! namfunga pingu ndiii!! ushenzi juu ya ushenzi tyuuu hkn namna!
Mtoto lazima alipe!! labda km huyo me umezeeka!
😂😂😂Huwa sisahau aibu niliyoipata Mimi Kwa ndugu zangu na marafiki zangu .
Nilibambikiziwa mimba nikalea mimba hadi kujifungua,miezi miwili baada ya kujifungua nikashangaa mbona siombwi hela kama mwanzo ilihali Sasa hivi mtoto na mama wanahitaji pesa nyingi!!?!siku kuja kumuuliza anasema mwenye mimba alikataa mwanzo Sasa kakubali kwahiyo Sina changu.
Irene popote ulipo sijakusahau mshenzi wewe ulinisababishia aibu na fedheha,nilikonda,nikakosa ufanisi kazini, nilipewa warning letter baadae wakakataa kurenew mkataba wangu,nilikosa kazi.
Niliskia uko marangu mtoni unateseka mbwa weweee.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ni 5 %hyo kubwa hvyo
Dereva anazaa na mke wa tajiri
Mke wa dereva anazaa na mume wa tajiri.
Tunaumizana wenyewe kwa wenyewe
Angalia sasa!...…. kwani damu yako ile??? NYie ndo mnajinyongaga nyie kakule tu si ulipigwa?? hata kakiolewa fuata piga hapa jamaa akuleelee mutoto!...zisitaki mbichi hizi labda kasiwe kazuriBangi ipigwe marufuku nchini
Je ulikataa ukijua sio ya kwako kweli au ulikataa kwasababu ya kukwepa majukumu?Mimi kuanzia mazingira ya mimba niliyakataa mpka mtoto anazaliwa.
Nilipo komaa kutaka kujua ukweli mama mtoto akanichana kua nikweli Mimi si baba was huyo mtoto. Kuanzia hapo akawa official X
Yaan yule mshenzi alisababisha mivurugano kwenye kichwa changu ilifikia hatua hadi kila nikisalimiwa na mtu natamani nimsimulie yanayonisibu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi sijaelewa" maana kasema alikuwa ana hudumia mimba hewa na hospitali walienda kupima[emoji124][emoji124] Sidhani kama nimeelewa
Mkuu kama ulikuwa unahisi mimba ilikuwa siyo yako ungeikataa kiujanja yani unakuwa msumbufu kwenye kutoa hudumaHuwa sisahau aibu niliyoipata Mimi Kwa ndugu zangu na marafiki zangu .
Nilibambikiziwa mimba nikalea mimba hadi kujifungua,miezi miwili baada ya kujifungua nikashangaa mbona siombwi hela kama mwanzo ilihali Sasa hivi mtoto na mama wanahitaji pesa nyingi!!?!siku kuja kumuuliza anasema mwenye mimba alikataa mwanzo Sasa kakubali kwahiyo Sina changu.
Irene popote ulipo sijakusahau mshenzi wewe ulinisababishia aibu na fedheha,nilikonda,nikakosa ufanisi kazini, nilipewa warning letter baadae wakakataa kurenew mkataba wangu,nilikosa kazi.
Niliskia uko marangu mtoni unateseka mbwa weweee.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa mkuu umelea mimba mpaka mwanamke kakifungua ukaishi nae, sasa hukuwajua ndugu zake na wazazi wake maana ni ngumu kuzaa na mwanamke halafu husijue ndugu zakePole kwa kulea mimba hewa. Mimi mwenzako nilikuwa matawi ya juu zaidi. Nilimhamishia yule mwanaharamu kwenye makazi yangu, nikalea mimba na mtoto akazaliwa, nikalea. Alas, kufikia kama miezi mitatu, nikagusia mambo ya kwenye kupima DNA. Nikajibiwa ''unataka kumpima mwanangu amekuwa nyama ya kununua dukani?''. Huyooo akatimka mwenyewe bila kutimuliwa na mpaka sasa sijui aliko.
Muache kutongoza magume gume yanajua kila kitu hadi mimba zinazotishia kutoka.😅😅Binafsi sijawahi kubambikwa mimba wala mtoto, ila nimewahi kuhudumia mimba hewa! Nilikuwa nampenda sana naye alikuwa anajua nampenda, siku ya siku akaniambia hazioni siku zake, tulipoenda kupima ikaonekana kweli ana mimba.
Siku hiyo nilikuwa na furaha isiyo kifani, kuanzia hapo nikaanza kumhudumia kama mke wangu. Mara kinatakiwa hiki, mara kile, nikaja kushtuka baada ya miezi mitatu na nusu ukawa ndiyo mwisho wa mahusiano yetu baada ya kumpa kipondo kitakatifu.
Kinachoniuma mpaka kesho ni zile gharama za hospital/clinic, maana alikuwa akiniambia mimba inatishia kutoka kwahiyo anatakiwa kuhudhuria clinic kila wiki.
Wewe je, ulibambikwa nini na ulichukua hatua gani baada ya kugundua umefanywa bwege?