macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Umesema kweli. Hata mimi ndiyo maana nilisisitiza. Unajua kisa changu kilikuwa ni ile mikasa ya wewe unapitia hapo leo na mwenzako anapitia hapo wiki hiyo hiyo au wiki ijayo. Mimba ikitunga manzi anakuwa hajui mwenyewe ni nani hivyo anachagua kumsakizia yule mwenye afadhali kiuchumi na huruma.Hahahahahah mie lazma nipime DNA siwezi kulea kibwege...Hawa wanawake wahuni sana sikuhizi.
Hata nilipompokea nilikuwa na mashaka ila nikasema subiri ajifungue ndiyo nitapima. BTW Niliokuja kuzaa baadae sikuwa na wasiwasi hata kidogo kwani kila aliyewaona mama alipotoka hospital alisema wamefanana na mimi copy.