Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapigwa kama ngoma, hamna mjanja wa mapenzi kila mtu ana mjanja wake 😂😂😂!!!Unaweza kuwa mjanja sana ila mapenz Kuna namna kilamtu kaonja maumivu unapigwa had unajiuliza hiv ni mm huyu nadanganywa kiasi hiki 😂😂😂
Na unanyooka haswa utatamni Hadi uwasimulie majirani😂😂Unapigwa kama ngoma, hamna mjanja wa mapenzi kila mtu ana mjanja wake 😂😂😂!!!
Shughuli inaanza unakopenda wewe 100% mwenzio anapenda 40%...Nje kuna mtu ndio anampenda by 100% ila ananyooshwa freshi tu.
Hasara utakayoipata ni kubwa sana sasa usubirie mtoto akue hadi miaka 20+ ili uanze kumla ni jambo la kijinga kufanya..pia mbunye haikomoleki...Manaume majinga sana!! mtoto wa kiume ndo ana madhara lkn wa kike weye beba tu!! utamkula na/zalisha huko mbele ya safari mamake atajua sasa! akimbie au akae!! ningekuwa mie lazima nikatafute nikakule!
vitoto vya kike havikawii kukomaa!! nakala weeee!! mapaka kieleweke kanazaa vizuri tu! asinifanyie ivo na kuniroga haniwezi! namfunga pingu ndiii!! ushenzi juu ya ushenzi tyuuu hkn namna!
Mtoto lazima alipe!! labda km huyo me umezeeka!
Ukienda kupima DNA nenda na huyo unaemhisi ni mtoto wake ila ukienda wewe,mtoto na mama mtoto lazima utaambiwa mtoto ni wako...Hahahahahah mie lazma nipime DNA siwezi kulea kibwege...Hawa wanawake wahuni sana sikuhizi.
Mimi kuna scenario ilitokea ultra sound inaonesha kuna wiki 2 tofauti na mhusika anavyodai...🤣🤣🤣Duh hii kiboko mno, na hio timming ndio inanipaga wasiwasi maana kuna uwezekano mwanamke akabebeshwa mimba na muhuni after 1 week ya kugundua akakuletea wewe upige. Ukiingia kingi tu ujue kakubebesha zigo.
Kwanini umesema hivi 😂😂@AidannaKhaaaaaa!!!!!! Yan wanaume hamna rangi hawaoni jmn....
🤣 🤣 Siyo kwa Povu hilo, pole sana.Huwa sisahau aibu niliyoipata Mimi Kwa ndugu zangu na marafiki zangu .
Nilibambikiziwa mimba nikalea mimba hadi kujifungua,miezi miwili baada ya kujifungua nikashangaa mbona siombwi hela kama mwanzo ilihali Sasa hivi mtoto na mama wanahitaji pesa nyingi!!?!siku kuja kumuuliza anasema mwenye mimba alikataa mwanzo Sasa kakubali kwahiyo Sina changu.
Irene popote ulipo sijakusahau mshenzi wewe ulinisababishia aibu na fedheha,nilikonda,nikakosa ufanisi kazini, nilipewa warning letter baadae wakakataa kurenew mkataba wangu,nilikosa kazi.
Niliskia uko marangu mtoni unateseka mbwa weweee.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pole Sana chief[emoji4]Nilihudumia Ujauzito hadi akajifungua , baada ya kunilazimisha kwake nimuoe yeye kama mke wa pili (mke mdogo) kugonga mwamba, akaniambia mtoto si wa kwangu, nikamjibu poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua mpo baba wawili na bado unaendelea kulea kwanini?Mimba ilionekana kwenye kipimo baada ya siku mbili nikashtuka ila sikuonesha....tunalea mtoto japo hatuishi pamoja.....ndugu zake hawajui kama nmeshiriki nae hivyo huwa wananisimulia kuhusu baba wa mtoto!
Tupo baba wawili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alikuwa anaenda enda kwa kusema ana biashara huwa anapeleka ila ila alikuwa akiishi maili mbili. Hebu nipe moja mbili zako yawezekana akawa ndiye huyo[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu dem amesoma udom??
Kiukweli nilikuwa nampenda mkuu,Hilo halikufichika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]inaonekana ilikuwa unampenda sana. Ila yeye hakuwa anakupenda.
Ndivyo inavyokuwaKiukweli nilikuwa nampenda mkuu,Hilo halikufichika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ulimla?Mi nilinusurika kubambikiwa nilikuwa na demu wangu mmoja hivi tulidumu miezi 8+,tuliachana katika mazingira ya ajabu ajabu tu yan hadi Leo sielewi..basi nikawa nambeleza lakini wapi,nikienda kwao anauchuna,Nikasema sio kesi,nikambwaga..nikaamua kubadilisha upepo wa Maisha nikaondoka ule mkoa nikaenda dar kupambana..hayo yote kuachana na Mimi kusafiri yalifanyika ndani ya mwezi mmoja..sasa Niko dar napigiwa simu na washkaji,waliokuwa wapangaji wenzangu,mashosti zake wananilaumu Kwa kumpa mimba rafiki yao eti nimemkimbia khaa nikabaki nashangaa tu,Kuna siku walikuja kwenye ile nyumba niliyokuwa nakaa,wazazi wake walimleta ili waniozeshe,mi napata tu info ila nikakausha..baada ya mwaka mmoja nikashangaa namba ngeni inapigwa,kupokea nasikia sauti ya mrembo anasema anakuja dar,Nikasema fresh..alipokuja tukaonana tabata baada ya kumuuliza akasema mtoto ni wa mjuba mwingine ndo aliyeolewa naye..duh kimoyomoyo Nikasema ningezubaa tu ningelea mtoto si wangu!!!
Mimi nilitulia...nikatuma elfu 15,mpaka niliposkia ameenda hospitali..nikajipeleka kisirisiri..nikamkuta mwanaume mwenzangu amenitangulia..nukajua ndiye Muhusika..maana mtoto alitoka wa kipemba wakati Mimi mwenyewe gunia la mkaa..
Wanafata kanuni ya Prof Kabudi hawataki mtoto abaki anataabika.Ukienda kupima DNA nenda na huyo unaemhisi ni mtoto wake ila ukienda wewe,mtoto na mama mtoto lazima utaambiwa mtoto ni wako...
2weeks difference ni sawa. Usije ukamkataa mwanao sababu ya UltrasoundMimi kuna scenario ilitokea ultra sound inaonesha kuna wiki 2 tofauti na mhusika anavyodai...🤣🤣🤣